Hezbollah yaanza kuishambulia Israel kwa roketi nzito za angani na ardhini, kulipa kisasi mauaji ya makamanda wake

Watapigwa mpaka wachakae dadeki
 
Haiwezi kitu ngoja NGOJA ROCKET ZA ISRAEL LEO MCHANA ZITUMWE JANA ILIKUWA SABATO
 
Kwani media zinazoonyesha matukio haya mengine zimeshindwa kuonyesha na hili?
Hat media iliyotoa hii taarifa nayo umeshindwa?
Israel aliwafukuza Al jazeera sababu alikuwa akionyesha Missiles zinapo elekea, na mlio wa Missiles zikiland. Akawafukuza kabisa, afu kwanini Israel sehemu zilizo pigwa haruhusu media zichukue hizo sehemu.
 
Hii ni nini?
 
We jamaa akili zako ni kidogo sana! Yani unataka waizrael ndio wakuchukulie picha? Kwani nyie kinachowashinda kuchukua hizo picha ni Nini??
Jamaa unalalamikia vitu ambavyo hata mtoto wa miaka mitano hawezi kuvilalamikia.
Jamani shule muhimu, tupeleke watoto shule.
Israel aliwafukuza Al jazeera sababu alikuwa akionyesha Missiles zinapo elekea, na mlio wa Missiles zikiland. Akawafukuza kabisa, afu kwanini Israel sehemu zilizo pigwa haruhusu media zichukue hizo sehemu.
 
Baba Yenu wa Iran bado anatafuta Ushaidi - Ili aanze Vita na Mtoa Roho (Israili) .Maana anajua litakalompata So Bado anatapa tapa kuanza Vita na Israili
 
Attachments

  • IMG_9857.jpeg
    198.9 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…