Hezbollah yafanya shambulizi kubwa Jiji la bandari la haifa Israel kwa kurusha maroketi 90, yasababisha uharibifu mkubwa

Hahahah kumbe kuna wavaa nepi au watoto?! Haifa hawezi kimbia mtu ila Lebanon imebaki magofu kama Gaza bado Tehran itakuwa magofu soon
Jidanganye ogopa watu waliofanya revolution huo mziki Hata US anaujua kwasababu aliuonja mziki huo kipindi cha revolution Tehran sio Baghdad Israhell watafurushwa mazima M.E na US bases yatabaki magofu ya kale
 
H

Hamna cha Tehran hao wameshindwa kuwalinda wanasayansi wao na rais wao aliekufa kwenye helicopter na magaidi wao Hamas na Hisbollah walioangamizwa
 
Mnaita magaidi kwa sababu waislam, wangalikuwa wakiristo wenzenu mngisema wakombozi
 
Hamjamboni ni Kiswahili cha wapi hiki?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
H

Hamna cha Tehran hao wameshindwa kuwalinda wanasayansi wao na rais wao aliekufa kwenye helicopter na magaidi wao Hamas na Hisbollah walioangamizwa
Kwanini US anahangaika kuleta ulinzi? She knows who they are. Mkubali mkatae US knows better than you guys kwamba Ayatollah ni nani. Na ndio Sasa wako kwenye mabanka wamejificha hapo tel viv huyo ni Ayatollah, bandari zimefungwa huyo ni Ayatollah, meli zimetulia red sea huyo ni Ayatollah, watu wameondoka kaskazini wengine wanaondoka nchi ni huyo ni Ayatollah, biashara elfu 80 zimefungwa huyo ni Ayatollah. Dunian saivi kichapo kinawakuta wazayuni wanaonekana hawana maana huyo ni Ayatollah. Wazayuni sasa wanajeshi wanagoma kwenda front line ni Ayatollah, na bado ataendelea kutembeza mti mpaka watakapo pata akili timamu
 
Ayatollah ni mchumba tu kwa Israel 🇮🇱 😅 🤣 bahati nzuri rocket za iran haijawahi ua hata mbwa mm1 wa Israel otherwise Ayatollah angelambishwa udongo muda mrefu he really messed with the Jewish state he will be finished
 
Tatizo ni uelewa wako rockets zote wanazotumia hizbollah ni za Ayatollah.
 
Waisrael wapigwe tu hakuna namna; ubaya waliuanza wao wenyewe. pambaf zao!
 
🤣 🤣 🤣
Mbwa ni wale wavaa makobaz punguani kabisa wewe
Naona mzayuni wa jf umekasirika kuwapa sifa zenu wazayuni wote umbwa kama sio nguruwe kabisa tena zile nguruwe pori
 
Ayatollah ni mchumba tu kwa Israel 🇮🇱 😅 🤣 bahati nzuri rocket za iran haijawahi ua hata mbwa mm1 wa Israel otherwise Ayatollah angelambishwa udongo muda mrefu he really messed with the Jewish state he will be finished
Muda mwingine uache ubishani wa ki kitoto hauna maana.
Kama Iran ingekua taifa dhaifu USA na washirika wake wasingehangaika kuidhoofisha Kwa economic sanctions na kuweka ulinzi happy middle east.
Unadhani Kambi ya USA hapo Iraq ni kwaajili ya nani kama sio kujaribu kumdhibiti Iran!?
Bro punguza utoto,USA sio mjinga kumuwekea Iran vikwazo tangu 1979.
USA sio mjinga kugomea jumuiya za kimataifa kutoa vikwazo vya silaha Kwa Iran.
Inamaana wewe una akili na uelewa kuliko USA na washirika wake!??
Acha utoto.
 
Marekani umeona inahangaika kweli na iran au imeshaidhibiti?!! Kama marekani ilifanikiwa kuiangusha soviet union itashindwa kuiangusha iran?!! Uwe serious kaka acha ushabiki tatizo badala ya kuwa rational unakuwa led na religious feelings and resentments.
Iran ni kazi nyepesi sana kwa marekani amini hivyo ukibisha ngoja Trump akirudi mjengo utaona iran itakavyo tulia
 
Trump karudi sasa tunasubiri aiangushe
 
Shida yako ukikosa hoja unakimbilia udini.
Halafu hoja huna.
Nani kakwambia USA ameshaidhibiti Iran!?
*Houthi wameifunga red sea na leo wamelipua meli vita mbili za USA Kwa msaada wa Iran.
*Hizbollah anashambulia Israel Kwa msaada wa Iran.
*Iran imeweza kuunda Vinu vya nuclear na Sasa inaelekea kuunda silaha zake.
*Iran imeweza kuisaidia Russia Kwa silaha dhidi ya Ukraine na hizo silaha zilionekana kuwa game changer.
*Mashariki ya kati amani anayeamua ni Iran Kwa kufadhili vikundi vya Axis of resistance.

Kwa minajili ipi unasema Iran imedhibitiwa!??
Unaugua mavi wewe Tena ya kuhara.

USSR ilikua ni rahisi kuivunja kwasababu ilijumuisha majimbo tofauti yenye watu wenye tamaduni na asili tofauti.
Ila je USA ameweza kuivunja RUSSIA!??
Huna hoja kazi yako kukimbilia UDINI tu.

Nioneshe USA AMEIDHIBITI WAPI IRAN.
*JE AMEWEZA KUZUIA IRAN KUENDELEA KATIKA NUCLEAR SCIENCE!?
*JE AMEWEZA KUZUIA IRAN KUUNDA SILAHA ZA AINA TOFAUTI!?
*JE USA AMEWEZA KUZUIA IRAN ISIFADHILI MAKUNDI YA WAPIGANAJI!??
Unakaa unaropoka ropoka tu hapa.
Leo Mungu wako USA meli zake zimepigwa mabomu hapo Red sea Kwa silaha za Iran kupitia Houthi.
Yani wewe fact huna Yani huna hoja.
 
Mleta uzi mbona kama unalialia huu ndio ukubwa na wahenga walisema siraa azinaga mwenyewe!! Aman ataki atapelekewa moto![emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Hii vita achomoki zayuni tumpe mwezi mwengine atakuwa ndembendembe,
Siraa = Silaha
Azinaga = Hazinaga = Hazina
Ataki = Hataki
Achomoki = Hachomoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…