imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Hii style ya Magaidi inaitwa "Idiotsm".Hahaa, complete opposite way ya kuilinda nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii style ya Magaidi inaitwa "Idiotsm".Hahaa, complete opposite way ya kuilinda nchi
Jidanganye ogopa watu waliofanya revolution huo mziki Hata US anaujua kwasababu aliuonja mziki huo kipindi cha revolution Tehran sio Baghdad Israhell watafurushwa mazima M.E na US bases yatabaki magofu ya kaleHahahah kumbe kuna wavaa nepi au watoto?! Haifa hawezi kimbia mtu ila Lebanon imebaki magofu kama Gaza bado Tehran itakuwa magofu soon
Hamna cha Tehran hao wameshindwa kuwalinda wanasayansi wao na rais wao aliekufa kwenye helicopter na magaidi wao Hamas na Hisbollah walioangamizwaJidanganye ogopa watu waliofanya revolution huo mziki Hata US anaujua kwasababu aliuonja mziki huo kipindi cha revolution Tehran sio Baghdad Israhell watafurushwa mazima M.E na US bases yatabaki magofu ya kale
Mnaita magaidi kwa sababu waislam, wangalikuwa wakiristo wenzenu mngisema wakomboziWadau hamjamboni nyote?
Magaidi ya Hezbollah wamecharuka na kufanya shambulizi la nguvu huko Israel
Mayahudi hawaamini kilichotokewa
Jumuiya za kimataifa tunaomba kuingilia kati kuokoa uhai watu wasio na hatia
Taarifa zaidi hapo chini kwa kimombo:
Mungu ibariki Israel.
Soma Pia: Hezbollah yafanya shambulizi yaua afisa mwandamizi Jeshi la Israel kamanda msaidizi brigedi ya 9308 pamoja na mwanajeshi mwingine
---
IDF: Over 90 rockets fired at Haifa area in two barrages; homes, cars damaged in multiple impacts
By Emanuel Fabian
More than 90 rockets were launched from Lebanon at the Haifa Bay area a short while ago, the IDF says.
In the first barrage of 80 rockets, the IDF says that most were shot down by air defenses, but several struck inside towns.
The second barrage consisted of 10 rockets, all of which the IDF says were either intercepted or hit open areas.
Damage was caused to homes and cars in Kiryat Ata, and a teenager was slightly hurt by glass shards.
It marks one of the largest rocket attacks on the port city amid the fighting with Hezbollah. On October 8, 2024, Hezbollah launched over 100 rockets at Haifa in two barrages.
Hamjamboni ni Kiswahili cha wapi hiki?Wadau hamjamboni nyote?

Bado hujasema mbaka useme.Magaidi mtateseka sana
Kwanini US anahangaika kuleta ulinzi? She knows who they are. Mkubali mkatae US knows better than you guys kwamba Ayatollah ni nani. Na ndio Sasa wako kwenye mabanka wamejificha hapo tel viv huyo ni Ayatollah, bandari zimefungwa huyo ni Ayatollah, meli zimetulia red sea huyo ni Ayatollah, watu wameondoka kaskazini wengine wanaondoka nchi ni huyo ni Ayatollah, biashara elfu 80 zimefungwa huyo ni Ayatollah. Dunian saivi kichapo kinawakuta wazayuni wanaonekana hawana maana huyo ni Ayatollah. Wazayuni sasa wanajeshi wanagoma kwenda front line ni Ayatollah, na bado ataendelea kutembeza mti mpaka watakapo pata akili timamuH
Hamna cha Tehran hao wameshindwa kuwalinda wanasayansi wao na rais wao aliekufa kwenye helicopter na magaidi wao Hamas na Hisbollah walioangamizwa
Ayatollah ni mchumba tu kwa Israel 🇮🇱 😅 🤣 bahati nzuri rocket za iran haijawahi ua hata mbwa mm1 wa Israel otherwise Ayatollah angelambishwa udongo muda mrefu he really messed with the Jewish state he will be finishedKwanini US anahangaika kuleta ulinzi? She knows who they are. Mkubali mkatae US knows better than you guys kwamba Ayatollah ni nani. Na ndio Sasa wako kwenye mabanka wamejificha hapo tel viv huyo ni Ayatollah, bandari zimefungwa huyo ni Ayatollah, meli zimetulia red sea huyo ni Ayatollah, watu wameondoka kaskazini wengine wanaondoka nchi ni huyo ni Ayatollah, biashara elfu 80 zimefungwa huyo ni Ayatollah. Dunian saivi kichapo kinawakuta wazayuni wanaonekana hawana maana huyo ni Ayatollah. Wazayuni sasa wanajeshi wanagoma kwenda front line ni Ayatollah, na bado ataendelea kutembeza mti mpaka watakapo pata akili timamu
Tatizo ni uelewa wako rockets zote wanazotumia hizbollah ni za Ayatollah.Ayatollah ni mchumba tu kwa Israel 🇮🇱 😅 🤣 bahati nzuri rocket za iran haijawahi ua hata mbwa mm1 wa Israel otherwise Ayatollah angelambishwa udongo muda mrefu he really messed with the Jewish state he will be finished
Waisrael wapigwe tu hakuna namna; ubaya waliuanza wao wenyewe. pambaf zao!Wadau hamjamboni nyote?
Magaidi ya Hezbollah wamecharuka na kufanya shambulizi la nguvu huko Israel
Mayahudi hawaamini kilichotokewa
Jumuiya za kimataifa tunaomba kuingilia kati kuokoa uhai watu wasio na hatia
Taarifa zaidi hapo chini kwa kimombo:
Mungu ibariki Israel.
Soma Pia: Hezbollah yafanya shambulizi yaua afisa mwandamizi Jeshi la Israel kamanda msaidizi brigedi ya 9308 pamoja na mwanajeshi mwingine
---
IDF: Over 90 rockets fired at Haifa area in two barrages; homes, cars damaged in multiple impacts
By Emanuel Fabian
More than 90 rockets were launched from Lebanon at the Haifa Bay area a short while ago, the IDF says.
In the first barrage of 80 rockets, the IDF says that most were shot down by air defenses, but several struck inside towns.
The second barrage consisted of 10 rockets, all of which the IDF says were either intercepted or hit open areas.
Damage was caused to homes and cars in Kiryat Ata, and a teenager was slightly hurt by glass shards.
It marks one of the largest rocket attacks on the port city amid the fighting with Hezbollah. On October 8, 2024, Hezbollah launched over 100 rockets at Haifa in two barrages.
Ni juu yako kuamini au kutoamini!Kwanza msimsingizie Mungu/Ngai ambaye huwa haongei huyo Allah pia amewadanganya na Story zake za kutunga don't take it seriously Story za uongo uongo.
Hadi hapo mtakapoanza Jihadi dhidi ya Wasioamini.Ni juu yako kuamini au kutoamini!
Naona mzayuni wa jf umekasirika kuwapa sifa zenu wazayuni wote umbwa kama sio nguruwe kabisa tena zile nguruwe poriMbwa ni wale wavaa makobaz punguani kabisa wewe
Muda mwingine uache ubishani wa ki kitoto hauna maana.Ayatollah ni mchumba tu kwa Israel 🇮🇱 😅 🤣 bahati nzuri rocket za iran haijawahi ua hata mbwa mm1 wa Israel otherwise Ayatollah angelambishwa udongo muda mrefu he really messed with the Jewish state he will be finished
Marekani umeona inahangaika kweli na iran au imeshaidhibiti?!! Kama marekani ilifanikiwa kuiangusha soviet union itashindwa kuiangusha iran?!! Uwe serious kaka acha ushabiki tatizo badala ya kuwa rational unakuwa led na religious feelings and resentments.Muda mwingine uache ubishani wa ki kitoto hauna maana.
Kama Iran ingekua taifa dhaifu USA na washirika wake wasingehangaika kuidhoofisha Kwa economic sanctions na kuweka ulinzi happy middle east.
Unadhani Kambi ya USA hapo Iraq ni kwaajili ya nani kama sio kujaribu kumdhibiti Iran!?
Bro punguza utoto,USA sio mjinga kumuwekea Iran vikwazo tangu 1979.
USA sio mjinga kugomea jumuiya za kimataifa kutoa vikwazo vya silaha Kwa Iran.
Inamaana wewe una akili na uelewa kuliko USA na washirika wake!??
Acha utoto.
Trump karudi sasa tunasubiri aiangusheMarekani umeona inahangaika kweli na iran au imeshaidhibiti?!! Kama marekani ilifanikiwa kuiangusha soviet union itashindwa kuiangusha iran?!! Uwe serious kaka acha ushabiki tatizo badala ya kuwa rational unakuwa led na religious feelings and resentments.
Iran ni kazi nyepesi sana kwa marekani amini hivyo ukibisha ngoja Trump akirudi mjengo utaona iran itakavyo tulia
Shida yako ukikosa hoja unakimbilia udini.Marekani umeona inahangaika kweli na iran au imeshaidhibiti?!! Kama marekani ilifanikiwa kuiangusha soviet union itashindwa kuiangusha iran?!! Uwe serious kaka acha ushabiki tatizo badala ya kuwa rational unakuwa led na religious feelings and resentments.
Iran ni kazi nyepesi sana kwa marekani amini hivyo ukibisha ngoja Trump akirudi mjengo utaona iran itakavyo tulia
Siraa = SilahaMleta uzi mbona kama unalialia huu ndio ukubwa na wahenga walisema siraa azinaga mwenyewe!! Aman ataki atapelekewa moto![emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Hii vita achomoki zayuni tumpe mwezi mwengine atakuwa ndembendembe,