Hezbollah yafanya shambulizi kubwa Jiji la bandari la haifa Israel kwa kurusha maroketi 90, yasababisha uharibifu mkubwa

Hezbollah yafanya shambulizi kubwa Jiji la bandari la haifa Israel kwa kurusha maroketi 90, yasababisha uharibifu mkubwa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Magaidi ya Hezbollah wamecharuka na kufanya shambulizi la nguvu huko Israel

Mayahudi hawaamini kilichotokewa

Jumuiya za kimataifa tunaomba kuingilia kati kuokoa uhai watu wasio na hatia

Taarifa zaidi hapo chini kwa kimombo:

Mungu ibariki Israel.

Soma Pia: Hezbollah yafanya shambulizi yaua afisa mwandamizi Jeshi la Israel kamanda msaidizi brigedi ya 9308 pamoja na mwanajeshi mwingine
---
IDF: Over 90 rockets fired at Haifa area in two barrages; homes, cars damaged in multiple impacts

By Emanuel Fabian

More than 90 rockets were launched from Lebanon at the Haifa Bay area a short while ago, the IDF says.

In the first barrage of 80 rockets, the IDF says that most were shot down by air defenses, but several struck inside towns.

The second barrage consisted of 10 rockets, all of which the IDF says were either intercepted or hit open areas.

Damage was caused to homes and cars in Kiryat Ata, and a teenager was slightly hurt by glass shards.

It marks one of the largest rocket attacks on the port city amid the fighting with Hezbollah. On October 8, 2024, Hezbollah launched over 100 rockets at Haifa in two barrages.
 
Zionist IDF

Another major blow to the Israeli security apparatus with Major General Eyal Zamir , Director General of the Ministry of Defense resigning.

The cracks in the IDF begin to appear day by day. They seem united but their hearts are divided.

The victory of Gaza and South Lebanon is certain.

Al Muqawamah Al Islamiyah 🇿🇦
 
Raia wa Haifa wamejengewa Bunkers chini ya Ardhi, Wanajeshi wao wanakaa juu kujibu mashambulizi, lakini hao Waarabu wanajenga Bunkers kwa ajili ya Magaidi na Maayatola wao halafu raia wanaachwa juu ya Ardhi, mashambulizi yakijibiwa Maelfu ya raia wao wanateketea.
 
Raia wa Haifa wamejengewa Bunkers chini ya Ardhi Wanajeshi wao wanakaa juu kujibu mashambulizi lakini hao Waarabu wanajenga Bunkers kwa ajili ya Magaidi na Maayatola wao halafu raia wanaachwa juu ya Ardhi mashambulizi yakijibiwa Maelfu ya raia wao wanateketea.
Wazayuni mara hii mpaka mutebe bungo hizi kelele hazitasaidia kitu yaani
 
Mnarusha makombora 80 mnajeruhi Mtu mmoja Israel ikijibu makombora kadhaa mnakufa 300 hii vita inakula kwenu.

Nyanyueni kitambaa cheupe na muombe AMANI.
Hata huyo mmoja hakutakiwa kujeruhiwa wao wana vitu vyao wanavyovitaka na ndio wanavyo vipata kama kuua raia ndio ushindi israhell angekua kashakomboa magaidi wake waliotekwa na hamas na kuifuta hamas munatamani wana muqawwamaah wasalimu amri ila mmepiga hesabu vibaya sana
 
Hata huyo mmoja hakutakiwa kujeruhiwa wao wana vitu vyao wanavyovitaka na ndio wanavyo vipata kama kuua raia ndio ushindi israhell angekua kashakomboa magaidi wake waliotekwa na hamas na kuifuta hamas munatamani wana muqawwamaah wasalimu amri ila mmepiga hesabu vibaya sana
Lengo la Magaidi ni kuua Wayahudi kama Quruani ilivyoamrisha sema kila mkiua Myahudi mmoja wanauwawa Waarabu 50+ ndio maana Akili zinaanza kuwarejea 😆😆
 
Back
Top Bottom