Hezbollah yafanya shambulizi kubwa Jiji la bandari la haifa Israel kwa kurusha maroketi 90, yasababisha uharibifu mkubwa

Hezbollah yafanya shambulizi kubwa Jiji la bandari la haifa Israel kwa kurusha maroketi 90, yasababisha uharibifu mkubwa

“Allah’s Messenger said, “The Hour will not be established until you fight with the Jews, and the stone behind which a Jew will be hiding will say. ‘O Muslim! There is a Jew hiding behind me, so kill him.’”
Wanapenda kujitoa akili kweli kweli. Mistari iko wazi but watakavyobisha sasa! Mgaidi wanaitumia hivyo hivyo ilivyo. Kuficha aibu utasikia wale hawafuati deen!
 
Sura gani aya ya ngapi
Wewe siunaijua Dini yako ni bora ungekanusha na kusema hiyo haimo kwenye mafundisho.

20241110_144637.jpg
 
Haya hizbo kapewa tanks

The Syrian Arab army just gifted Hezbollah T-72 tanks to assist in combating Israeli aggression
 
Hatugombani tunaelezana.
Hiyo kwanza ni dalili moja wapo ya kiyama kwa mujibu wa uislam,waislam kupigana na wayahudi na kuwashinda.
Ha ha ha! Kiyama (ya wafu) inakuja lini Mkuu? Haitabiriwi Mkuu wangu. Yaja kama mwivi ajavyo.
 
Hatugombani tunaelezana.
Hiyo kwanza ni dalili moja wapo ya kiyama kwa mujibu wa uislam,waislam kupigana na wayahudi na kuwashinda.
Kwahiyo safar hii kwakuwa mna uhakika wa kuwashinda wayahudi basi ndio itakuwa kiama sio?

Dunia nzima Ina watu wangapi mpaka nyinyi kumshinda myahudi ndio iwe kiama?

Doesn't make sense.
 
Kwahiyo safar hii kwakuwa mna uhakika wa kuwashinda wayahudi basi ndio itakuwa kiama sio?

Dunia nzima Ina watu wangapi mpaka nyinyi kumshinda myahudi ndio iwe kiama?

Doesn't make sense.
Umeambiwa dalili ya ujio wa siku ya kiama.
Sio kiyama exactly hapana.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Magaidi ya Hezbollah wamecharuka na kufanya shambulizi la nguvu huko Israel

Mayahudi hawaamini kilichotokewa

Jumuiya za kimataifa tunaomba kuingilia kati kuokoa uhai watu wasio na hatia

Taarifa zaidi hapo chini kwa kimombo:

Mungu ibariki Israel.

Soma Pia: Hezbollah yafanya shambulizi yaua afisa mwandamizi Jeshi la Israel kamanda msaidizi brigedi ya 9308 pamoja na mwanajeshi mwingine
---
IDF: Over 90 rockets fired at Haifa area in two barrages; homes, cars damaged in multiple impacts

By Emanuel Fabian

More than 90 rockets were launched from Lebanon at the Haifa Bay area a short while ago, the IDF says.

In the first barrage of 80 rockets, the IDF says that most were shot down by air defenses, but several struck inside towns.

The second barrage consisted of 10 rockets, all of which the IDF says were either intercepted or hit open areas.

Damage was caused to homes and cars in Kiryat Ata, and a teenager was slightly hurt by glass shards.

It marks one of the largest rocket attacks on the port city amid the fighting with Hezbollah. On October 8, 2024, Hezbollah launched over 100 rockets at Haifa in two barrages.
Kwenye Kingereza hakuna neno "magaidi" umelitowa wapi? Au uzushi wako tu?
 
Huu ni kwa mujibu wa Qur'an na uislam.
Unaniulizaje swali la kipuuzi kama hilo?
Ni sawa nikuulize aliyekuambia Yesu ni Mungu ni nani!?
Weka aya acha maneno matupu! Ni aya zipi zinasema hizo ndio dalili za kiyama?
 
Weka aya acha maneno matupu! Ni aya zipi zinasema hizo ndio dalili za kiyama?
Heee we ni punguani!!
😆😆😆😆😆😆😆😆 unabishana na mimi niliyesoma hiyo Qur'an!?
Umeleta ayah ya Qur'an mimi nakufafanulia unasema nilete ayah nyingine kusadikisha kama ni dalili ya kiyama.
Huna hoja kama kawaida yako uwe na asubuhi njema.
 
Aya ipi hiyo umefafanua? Haipo hiyo aya usitake kuleta uzushi hapa.
 
Back
Top Bottom