Hezbollah yawaambia raia Waisrael kuhama Tel Aviv

nani mwingine ajipendekeze aonjeshwe joto? Hezb na Hamas wanajuta na Israel wamewaacha wapige outdated facilities ili waonekane nao wanapigana ila hakuna raia wa Israel atakayeguswa na wavaa kobadhi
 
Vita ngumu hii maana hizbullah hawa hawa ndio walioenda kukomboa baadhi ya miji ya Syria na kuhakikisha rais wa Syria anaendelea kuwepo madarakani kwa hiyo wanaallies wakutosha tena jirani wa nguvu kama Syria ambaye ndani mwake kuna tartus military base ya mrussi kwa hio kupata supply ya silaha hata kama za kutoka russia kupitia syria inawezekana hii vita ni ngumu sana ila tunaomba mungu iran asiingie maana tutasuffer huku maana akiingia tu kwenye vita lazima atafunga strait of hormuz na mafuta yatakuwa shida kupatikana maana meli zitashindwa kupita hapo.
 
Patumu apooo kama lacasa de papel afu ile Bella ciao Bella ciao ciao chaoooo
 
nani mwingine ajipendekeze aonjeshwe joto? Hezb na Hamas wanajuta na Israel wamewaacha wapige outdated facilities ili waonekane nao wanapigana ila hakuna raia wa Israel atakayeguswa na wavaa kobadhi
Hakuna raia ataeguswa ? We una akili kweli ?
Wale waliotekwa ni raia wa Uganda au
 
Wameshaufungua mlango wa Jehannam ngoja tuone hali itakuwaje!

Muda huu a large Israel weapons depot in Atlit al Shatit imelipuliwa na Hizbullah.

Kesho Ayatollah kiongozi wa kidini wa Iran ataongea live sasa sijui naye ataongea nini!
 
Nimepata habari jioni hii majenerali wa IDF wameliambia Baraza la mawaziri huko Israel hakuna namna lazima vita huko Gaza isimame tunapoelekea ni kubaya. Netanyahu anaendelea kushupaza shingo kama kawaida yake yatamkuta mambo.
Source?
 
Hakuna raia ataeguswa ? We una akili kweli ?
Wale waliotekwa ni raia wa Uganda au
Wamekufa waislam wangapi hadi wakati unareply kwa gharama ya mateka? Tumia kili usitumie tasbihi unapojibu post za vita
 
Wamekufa waislam wangapi hadi wakati unareply kwa gharama ya mateka? Tumia kili usitumie tasbihi unapojibu post za vita
Unataka atumie Rozari ya Bikira Maria, Waislam kufa kwenye vita ni ushindi wagalatia na walokole kama nyie na mabwana zetu Israel ndiyo wanaogopa kufa ndiyo maana Hamas au Hezbollah akiuwa hata Muisrael mmoja ni ushindi, halafu hivi vita viwafumbua watu kumbe hili jeshi la Wasenge. hawana lolote leo mwaka unafika Gaza bado inawasumbua hawajui hata mateka wapo wapi pamoja na kusaidiwa na Ulaya na Marekani, Gaza yenyewe Kigqmboni kubwa.
 
Maneno ya kipumbavu kuwahi kutokea chini ya jua siku ya leo. Badae utasikia ooo sijui wanawake na watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…