Hezbollah yawaambia raia Waisrael kuhama Tel Aviv

BREAKING: HEZBOLLAH ILILENGA IKULU YA MOSSAD HUKO TEL AVIV

"Katika kuunga mkono watu wetu thabiti wa Palestina katika Ukanda wa Gaza na kuunga mkono upinzani wao shupavu na wa heshima, na katika kulinda Lebanon na watu wake, Upinzani wa Kiislamu ulizinduliwa Jumatano asubuhi, 9/25/2024, saa 6:30 asubuhi. , kombora la balestiki la "Qadr-1" linalolenga makao makuu ya Mossad katika viunga vya Tel Aviv, ambayo ni makao makuu yenye jukumu la kuua viongozi na kulipua kurasa na vifaa visivyo na waya."

Chanzo: Hezbollah Rasmi TG



View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1838820593807790124?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Kwani wameanza leo?
⚡️⭕️❗️ For the first time in history - Hezbollah targets Tel Aviv with a ballistic missile :

⚡️⭕️ #Lebanon: #Hezbollah: On Wednesday morning at 6:30 a.m., the Islamic Resistance launched a Qader-1 ballistic missile targeting the Mossad headquarters in the suburbs of Tel Aviv, responsible for assassinating leaders, blowing up pagers and radios.

According to Israeli media, the missile was intercepted with the David's Sling defense system.
 
Wakuu tujifunze kuandika vizuri
 
Nimepata habari jioni hii majenerali wa IDF wameliambia Baraza la mawaziri huko Israel hakuna namna lazima vita huko Gaza isimame tunapoelekea ni kubaya. Netanyahu anaendelea kushupaza shingo kama kawaida yake yatamkuta mambo.
Umepatw habari from which source?
 
Blah blah nyingi biti nyingi, waketi IDF wanatoa dozi kwa matendo wao wanapiga story nyingi
 
Nimepata habari jioni hii majenerali wa IDF wameliambia Baraza la mawaziri huko Israel hakuna namna lazima vita huko Gaza isimame tunapoelekea ni kubaya. Netanyahu anaendelea kushupaza shingo kama kawaida yake yatamkuta mambo.
Kutoka wapi hizo news,? Kizimkazi, au chato, au Lumumba CCM?
 
Kurusha hawajaanza leo, houth wentewe si walirusha hapo juzi na kombora likaenda kudondokea majani yaliyokusanywa kwa ajili ya kuchimwa likayachoma? ulichotakiwa ni kuleta matokeo ya hayo mashambulizi, sasa wewe kombora limejiishia zake hewani wewe huyo mbiombio kwenda kufungua nyuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…