Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Majibu wanayo😄Magaidi wa buza mnajifariji,aya katawaze uwahi masjid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majibu wanayo😄Magaidi wa buza mnajifariji,aya katawaze uwahi masjid
Israel Wajanja Sana😁 Wana jua kila kitu ila wanakuachia udonoe donoe kidogo ili Kichapo Wanachokupa Dunia isone kuwa Unaonewa. Hizibora na Hamas wanajiona watashinda Vita na Wajukuu wa Mfalme Daudi🤣 Kumbe anawamaliza ... Houtuz kwa sasa wanalea Mimba ya Wana wa Israel- kapata alichotaka katulia tulii🤣🤣.Wewe jamaa mvaa makobazi jinga sana, badae usije ukaanza kulia lia na kuanza kuomba huruma ya kimataifa
Tulia mkishambulia mnafurahi wakijibu mapigo mnachukia hii ndio maana ya vita wewe unataka uone wanapigwa tu😂Wewe jamaa mvaa makobazi jinga sana, badae usije ukaanza kulia lia na kuanza kuomba huruma ya kimataifa
Usijali Yupo YESU anaponya VIPOFU ata hawa Hizbora walipata kichapo cha mbwa koko🤣BBC wao wanavyo tuhabarisha nikama magazeti ya yanga au simba wao kuwasifia wazayuni. Tu kuwa wanamaguvu mossad ni noma usichezee, lkn wakidudwa nawapinzaniwao awatupi habari wanajidai awana iyo taharifa. Lkn zayuni akipiga wakwanza wao kutuhabarisha!!! Km simba mwiko kusifia yanga nawao ndio mfumo wao.l
Mimi naiunga mkono Israel kuficha taarifa za madhara ya vita kwa upande wake maana unampa adui nguvu na kuonesha udhaifu wako ila kwakuwa wewe ni mjinga huwezi kujua hilo.Vitu vingine ni uongo wa wazi, yaani naangalia mtu anasema ni severe damage ila madaktari wanatibu wakulima 3!
Ila jamaa wabishi🤣🤣 Pagers zimewapa Upofu lakini wamo tuIsrael ni chui wa makaratasi
Tangu nimeanza kufuatilia sijaona Hezbollah wakiua raia itokee tu kwa bahati mbaya. Wao target Yao ni wanajeshi , military base na industriesTaarifa tunazo hizbo nae kasnza kuua raia ubaya ubwela
Si mpaka wawe na uwezo huo?Tangu nimeanza kufuatilia sijaona Hezbollah wakiua raia itokee tu kwa bahati mbaya. Wao target Yao ni wanajeshi , military base na industries
Benjamin benzion mileikowsky
Wame Target makazi ya raia waliovamia na kuweka makazi palestineTangu nimeanza kufuatilia sijaona Hezbollah wakiua raia itokee tu kwa bahati mbaya. Wao target Yao ni wanajeshi , military base na industries
Unapoonewa unapata ushujaa wa ajabuIla jamaa wabishi🤣🤣 Pagers zimewapa Upofu lakini wamo tu
Mwenzio kaandika hizbullah we unataja HamasSi mpaka wawe na uwezo huo?
Wewe hukuona October 7 Hamas walipopata upenyo wa kuwafikia raia wa Israel wakamalizia hasira zao kwa kuwaua na kuteka wengine
Waisrael wa manyoni bana.Israel Wajanja Sana😁 Wana jua kila kitu ila wanakuachia udonoe donoe kidogo ili Kichapo Wanachokupa Dunia isone kuwa Unaonewa. Hizibora na Hamas wanajiona watashinda Vita na Wajukuu wa Mfalme Daudi🤣 Kumbe anawamaliza ... Houtuz kwa sasa wanalea Mimba ya Wana wa Israel- kapata alichotaka katulia tulii🤣🤣.
Aljazeera wamejaribu wameishia kuvamiwa na wanajeshi ofisini. Vita hivi vinasiasa kali kila kitu kikionyeshwa raia watavunjwa moyo na Serikali inaweza kuangushwa. Ila Tech inavyozidi kukua kuficha itakuwa ngumu.Mshangao ni kuwa huwa video za mashambulizi ndani ya Israel hazionekani.
Nijuavyo Aljazeera hafanyi kazi ndani ya Israel, huko walipopewa 45 d notice ni West BankAljazeera wamejaribu wameishia kuvamiwa na wanajeshi ofisini. Vita hivi vinasiasa kali kila kitu kikionyeshwa raia watavunjwa moyo na Serikali inaweza kuangushwa. Ila Tech inavyozidi kukua kuficha itakuwa ngumu.
Ndio apoo na wazayuni w mwakareli wanataka ushaidi usio na shaka km kweli wabarikiwa wanachezea kichapoAljazeera wamejaribu wameishia kuvamiwa na wanajeshi ofisini. Vita hivi vinasiasa kali kila kitu kikionyeshwa raia watavunjwa moyo na Serikali inaweza kuangushwa. Ila Tech inavyozidi kukua kuficha itakuwa ngumu.
We kweli jinga sasa waue IDF na kupiga military base washindwe kuuwa raia ambao ni defenseless? Vita ina sheria zake ni Israel tu anahaingaika na watoto na kina mama akidhani atawatisha Hamas au Hezbollah waache kupigana .Si mpaka wawe na uwezo huo?
Wewe hukuona October 7 Hamas walipopata upenyo wa kuwafikia raia wa Israel wakamalizia hasira zao kwa kuwaua na kuteka wengine
Whacha walie zimefungwa shule kule Haifa na balaa zaidi hizo missiles ni Amad 1 na Amad 2 zina kichwa cha mlipuko sio wa kawaida, na bado sana. Mpaa mda hu Hezbullah wamepiga target za jeshi tu kuonyeshesha jeshi sio kupiga civilian.BBC wao wanavyo tuhabarisha nikama magazeti ya yanga au simba wao kuwasifia wazayuni. Tu kuwa wanamaguvu mossad ni noma usichezee, lkn wakidudwa nawapinzaniwao awatupi habari wanajidai awana iyo taharifa. Lkn zayuni akipiga wakwanza wao kutuhabarisha!!! Km simba mwiko kusifia yanga nawao ndio mfumo wao.l
Wambie waruhusu media zifanye kazi ya nini wanawazuia media zote tunaonyeshwa mawingu, kwani Israel ni mawingu au 😄 kidogo leo naona hawana ujanjaVitu vingine ni uongo wa wazi, yaani naangalia mtu anasema ni severe damage ila madaktari wanatibu wakulima 3!