Na utasikia mtu mmoja amekufa na mtoto mmoja.Mshangao ni kuwa huwa video za mashambulizi ndani ya Israel hazionekani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na utasikia mtu mmoja amekufa na mtoto mmoja.Mshangao ni kuwa huwa video za mashambulizi ndani ya Israel hazionekani.
Wengine hao, na sasa hivi ni msiikiti wote wameingia vitani wao kwa waoSi kila anaye kwenda kusali ana sali wengine ni show off. Uislam ulisha yaongea hayo zamani kwenye Qur'an, we ndio leo unayaona.
Si ndio kila siku tunawambia sio kila mwenye jina la kiarabu ni Muislam.
Hizbollah sio hamas,, Lebanon kukiwa kama Gaza basi ujue hata Israel kutakuwa kama Gaza,, hamas hawana silaha zaidi zaidi smg na ak47 labda na manati, lkn Hizbollah Wana kila silaha nyingi tena za kisasa, so ni piga nikupige sio kama Gaza waliokatiwa mpaka maji na umeme jumlisha hakuna misaada kuingia. Unapigana vita na mtu wa namna hii bado unajisifu eti una jeshi bora na bado anakupelekea motohezbollah wamerusha rocket zaidi ya 100 na nyingi zimedondokea makazi ya watu na kuleta uharibifu mkubwa. sasa hilo linawafanya wayahudi wapate sababu nzuri zaidi kuingia vitani moja kwa moja, wameshaanza kupeleka vifaru soon beirut itakuwa kama gaza. icho ndo kitu kibaya.
Unaikumbuka vita ya Bint Jubeir 2006!??vita sio za kushabikia kwasababu wanadamu wenzetu wanakufa. lakini, kwa bahati mbaya, tayari vifaru vingi vimeanza kuhamishwa toka maeneo ya GAZA vinapelekwa mpakani mwa lebanon tayari kwa kuvamia. soon tutaanza kusikia genocide in lebanon, na tutasikia israel wauwaji.
Wewe punguani unadhani Gaza 🤣
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1837864535870361934?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Bro unaitaje Al-Jazeera wanafiki ihali watu wamevamiwa hadi kupigwa na wengine kuwekwa jela kisa kuripoti habari za Israel!?Wameficha mnajua Media Stream zote wamiliki ni Mayahudi ila yamepigwa sana kwao huko Al jazeera na yenyewe manafiki tu majinga