Hezbullah Kashambulia Base na Airport ya Haifa na Miji Mingine ndani y Israel

Hezbullah Kashambulia Base na Airport ya Haifa na Miji Mingine ndani y Israel

Hio sio revenge ya pager na kuwauwa macommander wa Hezbullah hio ni revenge ya kupiga piga kwa ndege huko Lebanon. Aisay hatari leo huko Israel base imepigwa vibaya sana sidhani kama kuna ndege zitarukia pale tena labda bada ya miezi.

View: https://youtu.be/7NeeZSY0W2A?si=NkZHMz9UUUlO-92e

Revenge ya pager bado inakuja
 
Israel Wajanja Sana😁 Wana jua kila kitu ila wanakuachia udonoe donoe kidogo ili Kichapo Wanachokupa Dunia isone kuwa Unaonewa. Hizibora na Hamas wanajiona watashinda Vita na Wajukuu wa Mfalme Daudi🤣 Kumbe anawamaliza ... Houtuz kwa sasa wanalea Mimba ya Wana wa Israel- kapata alichotaka katulia tulii🤣🤣.
Israel kila leo inazidi kuwa na hali ngumu.
Embu fuatilia kwa makini.
 
Afuu utasikia kuna kuku ndio kavunjika mguu. Ade waje kujua umuimu wa amani watakuwa washadhalilika sana iyo nguvu walionayo wangeitumia kujilinda ktk mipaka yao inayatambuliwa na UN ata kadhaa zingewasaidia wakiona wanafwatwa uko ktk upande wao lkn sasa bado wamevimba kichwa kina Netanyahu
 
We kweli jinga sasa waue IDF na kupiga military base washindwe kuuwa raia ambao ni defenseless? Vita ina sheria zake ni Israel tu anahaingaika na watoto na kina mama akidhani atawatisha Hamas au Hezbollah waache kupigana .
Jinga ni wewe na mihemuko ya kidini
Hizo sheria za vita Hamas alizingatia October 7? Kwa hiyo mateka wote walikuwa IDF? Ama kweli nyani haoni kundule!
 
Mwenzio kaandika hizbullah we unataja Hamas
Kwani Hamas na Hizbulah wana male malengo tofauti? Usiwapangie namna ya kupigana vita! Kama unajua adui yako ni kichaa anaua chochote kwa nini umchokoze? Acha wapambane
 
Israel Wajanja Sana😁 Wana jua kila kitu ila wanakuachia udonoe donoe kidogo ili Kichapo Wanachokupa Dunia isone kuwa Unaonewa. Hizibora na Hamas wanajiona watashinda Vita na Wajukuu wa Mfalme Daudi🤣 Kumbe anawamaliza ... Houtuz kwa sasa wanalea Mimba ya Wana wa Israel- kapata alichotaka katulia tulii🤣🤣.
Sasa ndio ujanja gani huo!?
Unaruhusu raia wako 10 wauliwe ili wewe ukaue 50 wa taifa jingine!
Hivi wewe kama mzazi mwenye akili timamu unaweza kuruhusu watoto wako 2 wauliwe na adui yako ili upate sababu ya wewe kuua watoto wake 5!?
 
Kwa hiyo kwa hasira zao ndo wakaamua kuivamia ofisi ya Al Jazeera Screenshot_20240922_124028_X.jpg
Screenshot_20240922_124028_X.jpg
 
Habari ya mjini ndio hio Israel kunawaka moto na wanazuia TV zisionyeshe wa Kwanza Al Jazeera kavamiwa office zake.

View: https://youtu.be/gge7jCaNeak?si=5UYU-0btNIMmIjBz

View: https://youtube.com/shorts/uXpvm4PoKA0?si=xuE4CotYcKnosYVr
Base inawaka moto wanazuia wasionyeshe aibu zao. Base imesambaratishwa huko.

View: https://youtu.be/OikpzcPiu2U?si=sHT-YPsrMB0qQh1y

Panya wanakimbia kwenda kwenye. Mashimo.

View: https://youtu.be/94FkoTkzFbc?si=IgJm5IVrxgsx3Uh7
Wameivamia Al Hazeera is itoe aibu zao hahaha 😆

Wewe muabudu wa shetan allah jipe moyo tu, maana ndiyo mnaenda kupotea wewe na mashia wako hao wa Hezbollah ambao kwanza wao hudai huyo mke mpendwa wa Mohammad ni malaya tu na hawamtambui

View: https://www.youtube.com/live/4pFFN68LRmw?si=dapiX3q1JFRPm7xY
 
Sio kila Shia anamini hivyo dogo ni sawa sawa na sio kila mkristo anamini Yesu ni Mungu. Pia wako wakristo wana mwamini Yesu ni Mungu na mama yake pia. Wako wanao amini yule shetani mtakatifu wa Paulo ni Mungu na mnamuita The Holy Ghost.

Rudi kwenye mada dini yenu haifahamiki mnafata mafunxo ya Paulo au Yesu?

Poleni kwa kipigo mwisho mtakosa sehemu za kurushia ndege afu Israel analalamika kule UN eti Al Houth kafika kwenye border yao. Kwani hio ni border yao, kwani wananchi hao 😄
 
Dogo natunza hii thread usije ukajificha huko mwisho tunakoelekea pale mtakapokuwa mmevhapwa halafu mtakimbilia kwa msauzi akawashitakie kule ICJ
 
Back
Top Bottom