Hezbullah Kashambulia Base na Airport ya Haifa na Miji Mingine ndani y Israel

Dogo natunza hii thread usije ukajificha huko mwisho tunakoelekea pale mtakapokuwa mmevhapwa halafu mtakimbilia kwa msauzi akawashitakie kule ICJ
Uwafahamu Hezbollah wewe dogo mabasha zako wameishachezea kichapo sana fuatilia history siyo hamas hao ambao hawana silaha.
 
Si mpaka wawe na uwezo huo?
Wewe hukuona October 7 Hamas walipopata upenyo wa kuwafikia raia wa Israel wakamalizia hasira zao kwa kuwaua na kuteka wengine
We jinga kweli yaani unataka kuniambia kulipua kambi ya jeshi ni rahis ila kulipua makazi ya raia ni ngumu
Hao Hezbollah wako smart ila akili yako ishaganda mpk jambo la halali kwako waona haramu
 
Jinga ni wewe na mihemuko ya kidini
Hizo sheria za vita Hamas alizingatia October 7? Kwa hiyo mateka wote walikuwa IDF? Ama kweli nyani haoni kundule!
Mateka ..hii inamaana wako salama,ila Israel ye anaua raia asa hapo tumia akili yako kujua wapi wako sahihi ila ukitumia mafuta ya upako lazima utawaza kama kondoo
 
Dogo natunza hii thread usije ukajificha huko mwisho tunakoelekea pale mtakapokuwa mmevhapwa halafu mtakimbilia kwa msauzi akawashitakie kule ICJ
Mimi nakuzaa wewe unadhani mimi wa miaka 30 au 40 heshimu wakubwa zako.

Nyie simmeisha kwenda UN kushitaki kuhusu wa Yemen wanataka kuwangilia kwa miguu 😄



View: https://youtu.be/hD4UXuGXC5s?si=IueHk-p8U1SlkpNF
Tazama kichapo hicho kwenye kiwanda cha kutengeneza hizo Iron Dome
 
vita sio za kushabikia kwasababu wanadamu wenzetu wanakufa. lakini, kwa bahati mbaya, tayari vifaru vingi vimeanza kuhamishwa toka maeneo ya GAZA vinapelekwa mpakani mwa lebanon tayari kwa kuvamia. soon tutaanza kusikia genocide in lebanon, na tutasikia israel wauwaji.
 
Mateka ..hii inamaana wako salama,ila Israel ye anaua raia asa hapo tumia akili yako kujua wapi wako sahihi ila ukitumia mafuta ya upako lazima utawaza kama kondoo
Wapo salama? Au ni ransom! Hapo wote hakuna anaye heshimu sheria za vita usitudanganye .....
Sema mmoja Ana access ya kupiga popote na mwingine yupo limited ila room zao ni zilezile
 
Hongereni kobazi, tukutane kwenye maombi ya pray for lebanese
 
Vita iko middle east.
Lakini nashangaa kuona missile nzito nzito zinatumwa tokea JF.
Wanamgambo wa Jf wamepamba moto haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…