Hezbullah Kashambulia Base na Airport ya Haifa na Miji Mingine ndani y Israel

Si kila anaye kwenda kusali ana sali wengine ni show off. Uislam ulisha yaongea hayo zamani kwenye Qur'an, we ndio leo unayaona.

Si ndio kila siku tunawambia sio kila mwenye jina la kiarabu ni Muislam.
Wengine hao, na sasa hivi ni msiikiti wote wameingia vitani wao kwa wao

View: https://x.com/Kavya_2004__/status/1837830283997176224Na huyu muislamu kesha chinja watu wote sasa anapiganisha kwa mapanga mkono wake wa kulia na mguu wake wa kulia; acha wewe jinsi mlivyorithishwa na shetani allah
 
Hizbollah sio hamas,, Lebanon kukiwa kama Gaza basi ujue hata Israel kutakuwa kama Gaza,, hamas hawana silaha zaidi zaidi smg na ak47 labda na manati, lkn Hizbollah Wana kila silaha nyingi tena za kisasa, so ni piga nikupige sio kama Gaza waliokatiwa mpaka maji na umeme jumlisha hakuna misaada kuingia. Unapigana vita na mtu wa namna hii bado unajisifu eti una jeshi bora na bado anakupelekea moto
 
Unaikumbuka vita ya Bint Jubeir 2006!??
Israel alikimbia na kuacha vifaru pale.
Sasa hivi anakutana na wale wale waliompiga 2006 wakiwa na jeshi la watu laki moja naa na makombora ya masafa marefu na ya kati.
 
Wameficha mnajua Media Stream zote wamiliki ni Mayahudi ila yamepigwa sana kwao huko Al jazeera na yenyewe manafiki tu majinga
Bro unaitaje Al-Jazeera wanafiki ihali watu wamevamiwa hadi kupigwa na wengine kuwekwa jela kisa kuripoti habari za Israel!?
Embu fikiria kabla hujaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…