Hezbullah Wamemuwa The Commender of Israel's Unit 8200 The Worlds Most Powerful Surveillance Agencies

Hezbullah mpaa USA kamsaidia atauweza mziki wa Iran ikiwa Hezbullah kaushindwa ๐Ÿ˜„

View: https://youtu.be/QnWTl6LztQU?si=-ck3mg1TcLsq9Vsh
 
Hezbullah mpaa USA kamsaidia atauweza mziki wa Iran ikiwa Hezbullah kaushindwa ๐Ÿ˜„

View: https://youtu.be/QnWTl6LztQU?si=-ck3mg1TcLsq9Vsh
Iran walishakazwa, Rais alitunguliwa juu kwa juu kwenye helikopta, kilichofuata baada ya hapo wakamla kichwa kiongozi wa Hamas ndani ya ardhi ya Iran kwenye sehemu yenye ulinzi mkali.

Hata Rais wa Iran mpya anamuomba Ayatollah asianzishe vita we huogopi ?? Makamu wa Rais aliachia madaraka fasta, Mziki wa Israel huo
 
Hii taarifa ni ya uongo kabisa hizi ndizo taarifa zinazoletwa humu kutoka masjid ubwabwa.
 

Attachments

  • Screenshot_20240827-210516.jpg
    220.1 KB · Views: 1
Hahaha poleni sana kuku, US pia kamsaidia lakini anakwepa kusema anajidai, katoa tu intelligence surveillance interms of tracking incoming missiles. Waongo sana US na wao wanapiga Lebanon wanajidai Israel. Hezbullah ni moto Israel hawezi uvumilia moto wao.
 
Kama Israel kweli kwa nia njema anataka vita na Iran amuondoe Ayatollah na akili kamuondoa yeye openly muone muajemi akichafukwa, alisambaza kambi ya mmarekani pale Iraq kaua mia na wengine kubaki viziwi lakini Marekani hakuthubutu kurusha hata jiwe na ni kipindi cha Trump
 
Endelea maneno, Israel anatwanga tu, pale pale kwenye mshono, Rais juu kwa juu Kaboom !! Kiongozi wa Hamas kitandani Kaboom !!!
 
Iran imo kwenye banda la intelejensia za Israel, Hakuna papara ni step by step, Kama rais wa Iran na Kiongozi wa Hamas waliweza kuwatungua kwa kuminya kitufe wakiwa na ulinzi wa special forces za Iran, Israel wawe na haraka ya wapi ? just chill, more surprises to come

Hadi rais wa sasa anamuomba Ayatollah asilipize kisasi na makamu wa rais anajiuzulu ujue game lipo next level, Mess with Israel unaweza kutumiwa nzi kumbe bomu.
 
Mkuu kanywe dawa ushaanza uchizi okoa familia yako usijekuwa mzigo siku za usoni.. eti ''wamemuwa''

Hezbullah Wamemuwa The Commender of Israel's Unit 8200 The Worlds Most Powerful Surveillance Agencies​

 
Nacheka kwasababu mkuu.
Hawa mashabiki wa Israel ikija habari za Israel kushambuliwa na kupata madhara hawaamini wanadai taarifa za kutunga.
Mkuu madhara huwa hayajifichi.. lete true habari.. mleta mada anajulikana jf kuwa ni muongo na ni mtumwa wa Allah na vihabari vyake anavikota masjid utumwani
Mtu unamletea hadi video ila anakwambia taarifa za kutunga.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kweli mapenzi upofu.
Video ya kifo cha Kamanda zipo wapi naomba nione plz
 
Wameua sio ๐Ÿ˜„
 
Nimekwambia kama anataka vita amuondoe kiongozi wa kidini wa Iran
 
Hawataki kuamini kuwa hiyo game effects ni both sides.
 
Israel kafanya mauaji mangapi pale Iran?
Vita haipiganwi kwa kupata sababu ya kupigana, vita inapiganwa kwa kupata support.
Kuna nchi zinachokozwa kwa makusudi, wanakuwa na sababu ya kulipiza ila wakikosa support hunyamaza. Hakuna nchi inajitosheleza kuingia vitani bila support yoyote iwe direct au indirect.

Kwa issue ya iran, mshirika wake mhimu ni Russia, intel inadai kwamba Russia ndio alimwambia iran aache kulipiza direct kwa sababu huo ni mtego ili Russia aingilie kutoa support, apigwe kule kwa kumuwezesha Ukraine. War is all about supporting. Kosugi
 
Hakuna kosa baya kulifanya kama uwaulie kiongozi wao wa dini mashia.
Aiseee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚utafanywa kitu hujai fanywa kabla.
Mhh.
Kumbe kiongozi wa kidini ni muhimu kuliko Taifa lao?
 
Lakini huwa mnakataa kwamba Jeshi la Israel halina viwango wala uwezo kama huo kiasi mnafikia kuwaita Wanamgambo. Leo imekuwaje tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ