Hezbullah Wamemuwa The Commender of Israel's Unit 8200 The Worlds Most Powerful Surveillance Agencies

Mkuu sijasema kama vita ya Palestina na Israel kuwa ni ya kidini.
Ila nachozungumzia ni kwamba mabwana wakubwa vurugu yeyote inayotokea mashariki ya kati baina ya waarabu na waisrael huwa wanaihusisha kidini.
Ndio maana wanajitahidi kuweka tahadhari wakihofia kuwa isije ikageuka kuwa vita ya kidini.
Middle east mataifa takriban yote ni ya kiislam.
Unadhani vita ya kidini ikitokea Israel atapona!???
Pia usidhani mataifa mengi ya Ulaya yatakubali kuiingia hiyo vita ya kidini kisa Israel.
Na nadhani unawafahamu waarabu wakisema tunafia dini wanamaanisha nini.
 
Naomba uthibitisho kuwa Israel ilijitegemea na Misri ilijitegemea.
Kuna article nyingi sana zimeandika tofauti tofauti kaka.
Ila kuna archieve ya October war Aljazeera English kaitafute youtube itaipata kaitizame wanahojiwa wale waliopigana hiyo vita wakieleza kila kitu.Maana najaribu ku copy link inashindikanika.
 
Nimekuelewa lakini wewe kwenye fikra zako ni Mrusi ndio peke yake atampa support Iran? Yuko wapi China, North Korea, Pakistan hayupo mbali kwenye mchezo hapo hata India sababu India na Iran hawana uadui wowote ule.
 
Unataka vita vitokee mara ngapi, waarabu leo hawana kabisa hamu ya kupambana na Israel elewa ukweli huo na kama unafikiri iko siku watapigana basi utasubiri kama anayesubiri mtumbwi mlimani.
 
ww sikuzuii endelea kuamini kuamini matango pori!🙄
Vita ya Syria emekuwa edited umeshindwa kujiongeza!
ww UNAJUA SAMSON OPTION?🎤
We kweli akili zako zimepinda It didn’t work for Samson in the bible 😄

Hivi we Israel akitumia nuclear yeye ndiye atabaki salama unless wawe wanataka iwe suicide 😄

Hezbullah akipiga tu Haifa hio ni zaidi ya Nuclear.
 
Nimekuelewa lakini wewe kwenye fikra zako ni Mrusi ndio peke yake atampa support Iran? Yuko wapi China, North Korea, Pakistan hayupo mbali kwenye mchezo hapo hata India sababu India na Iran hawana uadui wowote ule.
Support ya wazi inatoka kwa Russia.
Hao wengine wanafanya indirect kwa kuogopa vikwazo.
 
Ukishasema vita ya kidini haitakuwa Israeli dhidi ya waislam.
Ni (Judaism + Christian) vs Islamic. Hayo mataifa ya ulaya yako kwenye hayo makundi mawili.
 

Kwamba?

"Kumbe ule music wa Hezbullah kuwauwa kuku kwenye banda kulikuwa na majogoo wakubwa wamenono 😄"

Mzee Chigogo maoni yako tafadhali. 🤣
 
Ukishasema vita ya kidini haitakuwa Israeli dhidi ya waislam.
Ni (Judaism + Christian) vs Islamic. Hayo mataifa ya ulaya yako kwenye hayo makundi mawili.
Mkuu hivi unajua kama hadi wakristo wa middle east na maeneo mengine hawawapendi wayahudi!??
Hivi unajua tokea October 7 2023 kumezuka anti-semitism maeneo mengi haswa Ulaya??
Pia unadhani itachukua muda gani mpaka hayo mataifa yaje yatoe sapoti!???
Yani mpaka ifikie muda wa wao kutoa sapoti Israel imeshachakaa sanaa.
Maana nchi zilizoizunguka Israel ni Islamic states.
Hayo mataifa ya kikristo yatakayoamua kuiunga mkono Israel hayafiki hata matano.
Na ndio mataifa hayo yenye maslahi nayo Israel.
Na nchi kubwa nyingi za Ulaya hazitakubali kuingia vitani kirahisi kisa mtu mmoja anayeitwa Israel.
 
Support ya wazi inatoka kwa Russia.
Hao wengine wanafanya indirect kwa kuogopa vikwazo.
Mataifa mengi sasa hivi mkuu hayana uoga na vikwazo.
Labda useme support yenye nguvu kubwa.
Ila ukizungumzia uwazi Yemeni,Syria,Lebanon na Iraq yatatoa support ya wazi pasi na kupepesa macho.
 
Unataka vita vitokee mara ngapi, waarabu leo hawana kabisa hamu ya kupambana na Israel elewa ukweli huo na kama unafikiri iko siku watapigana basi utasubiri kama anayesubiri mtumbwi mlimani.
Acha kuongea porojo bro.
Waarabu hawaogopi kuingia vita na Israel,ila hawataki kukurupuka kuingia vitani na Israel.
Na wao wamejifunza vita za kidiplomasia ndio maana unaona leo hii Israel imefikia pabaya hapa ilipofika hadi wazungu wengi wamemkataa kumsapoti,aliyebaki kumsapoti ni USA,UK na Germany tu.
Hiyo vita ya kidiplomasia ilipiganwa Cairo kwa kuanzisha mikutano ya peace summit kwa kukaribisha nchi za Arab league na mataifa yenye ushawishi duniani.
Na ikagundulika tatizo ni Israel mwenyewe alianzisha vurugu August.
Na ili mzozo uishe suala ni two state solution.
Ndio maana unaona Norway,Belgium,Spain,Nertherland,Brazil,South Afrika n.k n.k walimsapoti Palestina na wakakataa kumtambua Hamas kama kundi la kigaidi bali wanatambua Hamas kama wapigania uhuru.


Unapozungumzia vita kuna Yemeni,Lebanon,Syria,Iraq hao wote wanaishambulia Israel indirectly.
Hadi Bahrain imeundwa kundi la kiasi la axis of resistance,na mwezi May lilirusha maroketi kuelekea Eilat.
Msiwachukulie waarabu wajinga kwa kukaa kwao kimya,hayo makundi wao ndio wanapenyeza pesa kuyalisha ili yaisumbue Israel.
Hakuna mwarabu anayeogopa kupigana na Israel,ila wanaenda kwa hatua wasiharibu uchumi wao.
 
Mawazo yako nitayakubali kama ni vita ya kawaida.
Kaka vita ya kidini means hata mimi na wewe tukikutana kigoma huko kinanuka maana nitatetea imani yangu dhidi ya imani yako. Vita ya kidini ni lazima uchague upande huwezi kuwa neutral. Madhara yake ni kwamba hata ukiamua kuwa neutral, ukakutana na hao wapinzani wako watakuua, so na wewe lazima uchukue upande ili angalau upate support ya upande wa iamani yako. Lastly ikiwa vita ya kidini haitapiganwa Mashariki pekee, itasambaa pande zote za dunia, maana kila mmoja atataka kumsaidia wa imani yake.
 
Mataifa mengi sasa hivi mkuu hayana uoga na vikwazo.
Labda useme support yenye nguvu kubwa.
Ila ukizungumzia uwazi Yemeni,Syria,Lebanon na Iraq yatatoa support ya wazi pasi na kupepesa macho.
Yemen, Syria, Lebanon na Iraq watatoa support gani ya maani katika uwanja wa vita dhidi ya US and co.?
 
Imenibidi niandike hilo jina Google pengine naweza PATA taarifa yyte kumuhusu naona kati ya taarifa zake hakuna taarifa ya kifo sasa nyie ndugu zangu ktk imaani kwann mnakubali kudanganywa kirahisi hivyo au hivyo vichwa vyenu ndani havina ubongo?
 
Kitu unachojichanganya wewe ni kutaka kuunasibisha ukristo na uyahudi.
Ukristo na uyahudi ni vitu viwili tofauti.
Hata vita ikitokea itakua baina ya waislamu na wayahudi.
Hao wakristo unaotaka kuwanasibisha na wayahudi hawawapendi wayahudi vile vile maana wanafahamu kuwa Israel wayahudi wanashambulia makanisa yao na kuwatemea mate wakristo na kumuita Yesu tapeli.
Ndio maana baada ya October 7 anti-semitism ilisambaa sana Ulaya magharibi na wakristo waliongoza hiyo anti-semitism.
Hivyo ikitokea vita ya kidini hapo atatafutwa MYAHUDI SIO MKRISTO.
Usitake ku relate christianity na jewish.
Havifanani mkuu,hata hao wakristo wanawa mind sana wayahudi ila ndio hivyo tu viongozi wa mataifa yao wana mutual interest geopolitically na Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…