HezibuLlaah hawana tena woga kupigana na Israel.Warusha maroketi wanapotaka.Netanyahu aitisha kikao kujadili hali isiyokawaida.

dalili za kuchanganyikiwa zimeonekana wazi leo,Amelidanganya mpaka bunge lake
Yair Lapid kiongozi wa upinzani analalamika Netanyahu hapokei simu yake tangu asubuhi anaulizia suala la usalama linaonekana kuwa Tete. Ben Gurion Airport wayahudi wanaokimbia ardhi ya wapalestina wamekwama hakuna ndege inayoruhusiwa kutua Wala kuruka. Saa 12 jioni Hassan Nasrallah atahutubia kuwaambia Wananchi Duniani kilichotokea Leo asubuhi.
 
uwezo wa kuhimili vita kwa muda mrefu na military techniques za wazayuni.
Pia mashambulizi ya mara Kwa mara raia watochoka watakimbia nchi,na hili ni lengo kubwa la vile vikundi.


✍️✍️✍️ibolla wanatuma makombora ya USD23,000 Israel na washirika wanatumia Iron doom missiles za USD300,000 kutungua makombora hayo. ✍️✍️✍️

Huyo ndio Muiran, NATO mpaka kesho wanatukana, Urusi alipewa Shaheed drone.zina sifa ya Kuwa na kelele angani kiasi kwamba HATA aliyemo kaburini anachimba,anajua ni Shaheed hiyo inakuja.pia haina Kasi angani.

Shaheed Moja inauzwa dollar 30k,ili uidondoshe utumie dollar 150k.kumbuka hiyo drone imebeba bomu,ukiiacha inakutia hasara,ukiitungua hasara.
 
Kwa hio wewe unatuletea ubwabwa wa ukuta humu sio. Katingisheni vichwa vyenu huko mkishìkishwa ukuta, vitu vya Hezbullah vimewaingia vizuri.
Hao magaidi wa Hezbollah wanatafuta namna ya kuwahadaa mabwana zao makafiri wa Iran waendelee kuwafadhili wapige hela ndio maana wanasambaza video nyingi za propaganda kutoka masjid ubwabwa zao.
 
Hao magaidi wa Hezbollah wanatafuta namna ya kuwahadaa mabwana zao makafiri wa Iran waendelee kuwafadhili wapige hela ndio maana wanasambaza video nyingi za propaganda kutoka masjid ubwabwa zao.
We mfuasi wa Paulo kipigo alicho kipata Israel leo USA, UK, Israel na Nato kiujumla walikuwa wana spy kutumia drones huko South Lebanon hawakuambua kitu. Kipigo takatifu wamepiga Mossad base huko Tela Aviv na Base ya Air force zote ziko kwenye area less than 300 meters kutokeaTela Aviv. Kapigwa pia warning wakiona result haiwaridhishi watapiga tena lakini kwa sasa wana uhakika target zao ni 💯 zime sambaratisha huko.

Poleni sana mmepiga to launcher 2 katika launcher 340 zilizo husika leo kwenye hilo shambulio. Mkapiga launcher 10 za zamani waliziwacha Hezbullah chini ya majabali hizo haxikujusika kabisa na shambulio la leo, hizo ndio target mmepata kwa ndege mnadai 100 zilihusika 😄
 
Umechanganya mambo na picha.
Ambako hakukaliki kwa sasa ni kaskazini ya Israel na hao unaowaona ni mayahudi wakikimbizana kuingia mashimoni mwao.
Mbona tangu uanze kuleta hizi habari za israel wanashambuliwa kwa kasi sana ni mwaka sasa? Leo nilikuwa naangalia Israel today nikaona mambo yanaenda kama kawaida, watoto wanaenda shule (sasa sijui shule zipo mapangoni?) Na bado serikali ya israel ni ileile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…