Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Yair Lapid kiongozi wa upinzani analalamika Netanyahu hapokei simu yake tangu asubuhi anaulizia suala la usalama linaonekana kuwa Tete. Ben Gurion Airport wayahudi wanaokimbia ardhi ya wapalestina wamekwama hakuna ndege inayoruhusiwa kutua Wala kuruka. Saa 12 jioni Hassan Nasrallah atahutubia kuwaambia Wananchi Duniani kilichotokea Leo asubuhi.dalili za kuchanganyikiwa zimeonekana wazi leo,Amelidanganya mpaka bunge lake