dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,753
- 18,781
Mke wa mdogo wangu Leo amenifunjia heshima yangu pasipo mimi kutegemea nilipigia simu na maam angu mzazi kunieleza kuwa yuko kwa dogo kwa mke wake kajifungua basi wa kanipa niwasalimie nashangaa ana nisalimia kama mimi Ni rika lake na mume wake
Eti "eti shem mambo" vitoto vya elf 2 ndio wakuniamkia mm hvyo kweli mbele ya mama angu mzazi mm baada ya kusalimiwa hvyo hata mudi wa kuwapa hongera nilikosa dah nimechukizwa sna na aian ya salama hiyo wakati mume wake ananiamkia mimi kwashima zote
Mimi nataka nimpigie dogo nimkanye na amuelekeze mke wake ni jinsi gani aniamkie vingine watanielewaa vibaya