Hi ni dharau au kukosa adabu? Mke wa dogo kanisalimia mambo badala ya shkamoo!

Wapenda SHIKAMOO NAWO WANATAHARUKI KAMA CHUKUWACHAKOMAPEMA?!
Usipoamkiwa SHIKAMOO ina mambo mengi...
Labda uko handsome na kasura ka ujana! That's a compliment by the way from women!
Labda shem ana anataka nawe uchovye!
Labda analeta ukaribu kwa kutaka uwe rafiki!
Kumbuka msichana akizaa anakuwa mama, keshaondoka kwenye u sisterdu!
Just take it easy bro, go with the flow, you never know what around the corner! 😉😉😉
 
Mke wa mdogo wangu Leo amenifunjia heshima yangu pasipo mimi kutegemea nilipigia simu na maam angu mzazi kunieleza kuwa yuko kwa dogo kwa mke wake kajifungua basi wa kanipa niwasalimie nashangaa ana nisalimia kama mimi Ni rika lake na mume wake

Eti "eti shem mambo" vitoto vya elf 2 ndio wakuniamkia mm hvyo kweli mbele ya mama angu mzazi mm baada ya kusalimiwa hvyo hata mudi wa kuwapa hongera nilikosa dah nimechukizwa sna na aian ya salama hiyo wakati mume wake ananiamkia mimi kwashima zote

Mimi nataka nimpigie dogo nimkanye na amuelekeze mke wake ni jinsi gani aniamkie vingine watanielewaa vibaya
Ulitaka akuamkie shkamoo shemeji upate shilingi ngapi?

Wacha kupenda utukufu hadi kwenyw nyumba za watu.
Akikuheshimu mkeo na watoto wako inatosha.
 
Mke wa mdogo wangu Leo amenifunjia heshima yangu pasipo mimi kutegemea nilipigia simu na maam angu mzazi kunieleza kuwa yuko kwa dogo kwa mke wake kajifungua basi wa kanipa niwasalimie nashangaa ana nisalimia kama mimi Ni rika lake na mume wake

Eti "eti shem mambo" vitoto vya elf 2 ndio wakuniamkia mm hvyo kweli mbele ya mama angu mzazi mm baada ya kusalimiwa hvyo hata mudi wa kuwapa hongera nilikosa dah nimechukizwa sna na aian ya salama hiyo wakati mume wake ananiamkia mimi kwashima zote

Mimi nataka nimpigie dogo nimkanye na amuelekeze mke wake ni jinsi gani aniamkie vingine watanielewaa vibaya
Umepiga?
 
Tafuta hela, shikamoo hailazimishwi.
 
Back
Top Bottom