Mke wa mdogo wangu Leo amenifunjia heshima yangu pasipo mm kutegemea nilipigia simu na maam angu mzazi kunieleza kuwa yuko kwa dogo kwa mke wake kajifungua basi wa kanipa niwasalimie nashangaa ana nisalimia kama mm Ni rika lake na mume wake eti "eti shem mambo" vitoto vya elf 2 ndio wakuniamkia mm hvyo kweli mbele ya mama angu mzazi mm baada ya kusalimiwa hvyo hata mudi wa kuwapa hongera nilikosa dah nimechukizwa sna na aian ya salama hiyo wakt mume wake ananiamkia mm kwashima zote
Mm nataka nimpigie dogo nimkanye na amuelekeze mke wake ni jinsi gani aniamkie vingine watanielewaa vibaya