Hi ni dharau au kukosa adabu? Mke wa dogo kanisalimia mambo badala ya shkamoo!

Vipi sauti nyororo ya mke wa mdogo wako hujaipenda.

Kwanza mimi sipendi kuamkiwa licha ya kilomita kusoma nyingi lakini shikamoo inanikata sana
Kuna mikoa ukienda utkula shikamoo mpaka uchakae mfano Mara, naipenda Zanzibar Kule hakuna shikamoo kitoto kidgo utasikia " assallaam aleykhum" mkoloni kama mtoa mada ataitikia hiyo Salam "marahaba "
 
Anajifanya kuchukia wakati akiumwa sindano za makalio zinamhusu tu😅 na sisi walevi ndio wahusika wakuu🤣🤣🤣
Ee tena na ndo madaktari makini sana...
Kuna daktari pale Tarakea nilienda kipindi fulani... mtt akapata nimonia baridi mwezi wa 7...lakini yule daktari alimtibu mtt kwa kudunga zile sindano huku yuko moto...nilikua naogopa lla nurse akawa anasema nisihofu ni daktari mzuri sana...na kweli mtoto akapona fresh
 
Pombe ina akili kubwa , mimi sijawahi kufanya kitu cha maana duniani kama sijawakaaa
 
Mke wa mdogo wangu Leo amenifunjia heshima yangu pasipo mimi kutegemea nilipigia simu na maam angu mzazi kunieleza kuwa yuko kwa dogo kwa mke wake kajifungua basi wa kanipa niwasalimie nashangaa ana nisalimia kama mimi Ni rika lake na mume wake

Eti "eti shem mambo" vitoto vya elf 2 ndio wakuniamkia mm hvyo kweli mbele ya mama angu mzazi mm baada ya kusalimiwa hvyo hata mudi wa kuwapa hongera nilikosa dah nimechukizwa sna na aian ya salama hiyo wakati mume wake ananiamkia mimi kwashima zote

Mimi nataka nimpigie dogo nimkanye na amuelekeze mke wake ni jinsi gani aniamkie vingine watanielewaa vibaya
Unadhani huwa hakuoni unavyomuangalia kwa jicho la taamaaa kama fisi
 
Sijaona dharau, salamu ya mambo ilikutosha sana. Na hakukuwa na haja ya kuja kutuambia humu badala yake ungemwambia huyo huyo shemu wako kuwa ni aina gani ya salamu unaitaka.
 
Huu upuuzi aliwahi kuniletea mke wa bro. Eti natakiwa nimpe shikamoo kisa ni mke wa kaka angu otherwise mimi simuheshimu. Toka hapo nikaanza kumshusha thamani sana, ila tu nilimwambia heshima haipo kwenye shikamoo
 
Mke wa mdogo wangu Leo amenifunjia heshima yangu pasipo mimi kutegemea nilipigia simu na maam angu mzazi kunieleza kuwa yuko kwa dogo kwa mke wake kajifungua basi wa kanipa niwasalimie nashangaa ana nisalimia kama mimi Ni rika lake na mume wake

Eti "eti shem mambo" vitoto vya elf 2 ndio wakuniamkia mm hvyo kweli mbele ya mama angu mzazi mm baada ya kusalimiwa hvyo hata mudi wa kuwapa hongera nilikosa dah nimechukizwa sna na aian ya salama hiyo wakati mume wake ananiamkia mimi kwashima zote

Mimi nataka nimpigie dogo nimkanye na amuelekeze mke wake ni jinsi gani aniamkie vingine watanielewaa vibaya
Mkuu embu acha utoto sasa
 
Back
Top Bottom