yassird200
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 978
- 1,716
Hapana nivile tu ameshindwa kuelewa mipaka unayompa ila kama nihivyo heshima anayo ilaanahisi kuwa huru tu kwa kilarikaMkuu hadi kukosa muda wa kuwapa hongera baada ya kuamkiwa hvyo dah
Hapana nivile tu ameshindwa kuelewa mipaka unayompa ila kama nihivyo heshima anayo ilaanahisi kuwa huru tu kwa kilarikaMkuu hadi kukosa muda wa kuwapa hongera baada ya kuamkiwa hvyo dah
Ungempasha hapo hapo umwambie mambo ya nyokwe....Mkuu hadi kukosa muda wa kuwapa hongera baada ya kuamkiwa hvyo dah
Hadi Leo ujenzi tumesima mkuuNimegundua kwa nini jirani yako alikumyima maji ya kujengea
Sure ila sio kihivyo mkali , ila na enjoy sana maisha ya kula vyombo na kuwa open😂😂😂Hata ivyo ulipiga kazi non_stop bila kupumzika ulitueleza wiki iliyo pita...
Hope usha pendeza na hata mwandiko wako unaonyesha umeanza kua HIGH 😆☺️
Dada mbna umebadilika sna siku hz una majibu nyoko sana siku hz watu wamesha kuaribu huku Nilikuacha ukiwa mtu poau sna ila sas hv hapa kwa kweliUngempasha hapo hapo umwambie mambo ya nyokwe....
Rikiboy niaje Mzee wa kula kimasiharahana vikubwa vya kuhangaika navyooo..!
Acheni. Mapombe na ninyi mnajianika hapa kama watu a aana kumbe walevi wa double kikiNipo na mapumziko ya siku 5 kwanza , hivyo nipo home tu , kujipongeza ni mda wote tu bwashee
Ulinitelekeza kabisa kaka angu nikaangukia kwa watu wenye midomo michafu nikaharibika...Dada mbna umebadilika sna siku hz una majibu nyoko sana siku hz watu wamesha kuaribu huku Nilikuacha ukiwa mtu poau sna ila sas hv hapa kwa kweli
Hpn yey ni kabla letu haipazwi kuniambia mm hvyo kwa kweli nimekasikiri nitampigia dgo kesho ampe kikao mke wakeHapana nivile tu ameshindwa kuelewa mipaka unayompa ila kama nihivyo heshima anayo ilaanahisi kuwa huru tu kwa kilarika
Unataka uamkiwe una hela ? Au unamhudumia huyo mdogo wako na mkeo ? Maana mwanaume anayeishi kwao anaitwa kijana anayetegemea ugali wa shikamoo. Heshima ukiilazimisha utadumaza akili yako ndugu yangu tafuta hela uanze kujenga shikamoo za kwanza utazipata kutoka kwa mafundi. Baadae zitaanza kuja kutoka kwa wapangaji na zitakuja mpaka utazikataa.Mke wa mdogo wangu Leo amenifunjia heshima yangu pasipo mimi kutegemea nilipigia simu na maam angu mzazi kunieleza kuwa yuko kwa dogo kwa mke wake kajifungua basi wa kanipa niwasalimie nashangaa ana nisalimia kama mimi Ni rika lake na mume wake
Eti "eti shem mambo" vitoto vya elf 2 ndio wakuniamkia mm hvyo kweli mbele ya mama angu mzazi mm baada ya kusalimiwa hvyo hata mudi wa kuwapa hongera nilikosa dah nimechukizwa sna na aian ya salama hiyo wakati mume wake ananiamkia mimi kwashima zote
Mimi nataka nimpigie dogo nimkanye na amuelekeze mke wake ni jinsi gani aniamkie vingine watanielewaa vibaya
Nikipata muda huku nakuona a unavyo jibizana na Watu khaa kwa kweli Nimeamini makundi yanamuaribu mtuUlinitelekeza kabisa kaka angu nikaangukia kwa watu wenye midomo michafu nikaharibika...
Ila najitahidi kuacha
Ahaaah 😀 😀 😀 hutaniona tena..Nikipata muda huku nakuona a unavyo jibizana na Watu khaa kwa kweli Nimeamini makundi yanamuaribu mtu
Dokta wa filosofia vipi lakini mkuu?Acheni. Mapombe na ninyi mnajianika hapa kama watu a aana kumbe walevi wa double kiki
Huyo ni daktari wa watu kikosi cha JWTZ....Dokta wa filosofia vipi lakini mkuu?
Anajifanya kuchukia wakati akiumwa sindano za makalio zinamhusu tu😅 na sisi walevi ndio wahusika wakuu🤣🤣🤣Huyo ni daktari wa watu kikosi cha JWTZ....
Wee una hali gani mbwwa wee unajifanya maisha maisha una maisha gani wee shoga tu wee mchumba tu kwanguHuu mwandiko tu unaonyesha wewe una hali gani ya maisha
Nitakuchapa Jirani 🤣🤣🤣Huyo ni daktari wa watu kikosi cha JWTZ....