dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,753
- 18,781
hana vikubwa vya kuhangaika navyooo..!Maisha haya usihangaike na vitu vidogo kama hivyo...
Sasa na wewe sio kila kitu ni cha kuleta humu, vingine mnaelezana tuu kwenye familia. Binti Sayunii Njoo umpe huyu jamaa ushauriMke wa mdogo wangu Leo amenifunjia heshima yangu pasipo mm kutegemea nilipigia simu na maam angu mzazi kunieleza kuwa yuko kwa dogo kwa mke wake kajifungua basi wa kanipa niwasalimie nashangaa ana nisalimia kama mm Ni rika lake na mume wake eti "eti shem mambo" vitoto vya elf 2 ndio wakuniamkia mm hvyo kweli mbele ya mama angu mzazi mm baada ya kusalimiwa hvyo hata mudi wa kuwapa hongera nilikosa dah nimechukizwa sna na aian ya salama hiyo wakt mume wake ananiamkia mm kwashima zote
Mm nataka nimpigie dogo nimkanye na amuelekeze mke wake ni jinsi gani aniamkie vingine watanielewaa vibaya
Mzee wa kula kimasiharahana vikubwa vya kuhangaika navyooo..!
AiseeSasa na wewe sio kila kitu ni cha kuleta humu, vingine mnaelezana tuu kwenye familia. Binti Sayunii Njoo umpe huyu jamaa ushauri
Mkuu,Mke wa mdogo wangu Leo amenifunjia heshima yangu pasipo mm kutegemea nilipigia simu na maam angu mzazi kunieleza kuwa yuko kwa dogo kwa mke wake kajifungua basi wa kanipa niwasalimie nashangaa ana nisalimia kama mm Ni rika lake na mume wake eti "eti shem mambo" vitoto vya elf 2 ndio wakuniamkia mm hvyo kweli mbele ya mama angu mzazi mm baada ya kusalimiwa hvyo hata mudi wa kuwapa hongera nilikosa dah nimechukizwa sna na aian ya salama hiyo wakt mume wake ananiamkia mm kwashima zote
Mm nataka nimpigie dogo nimkanye na amuelekeze mke wake ni jinsi gani aniamkie vingine watanielewaa vibaya
MkuuMkuu,
Siku nyingine usianzishe thread fanya action kemea onyesha kutokupendezwa na kitu pale pale ungemwambia pale pale awe na adabu pia Akupe salamu unayo taka kama shikamoo ama salamu unayo ona inafaa zaidi Kwako.
Mimi huwa na reacts pale pale huwa si teti Wala kuzungumza pembeni pembeni Mimi ni mtu nipo very direct kabisa kabisa.
Nambie ndugu yangu uzima UPO.Mkuu
Upo kabisa kiongozi , leo maji ya uzima haupigi kabisa ?Nambie ndugu yangu uzima UPO.
Sasa hili nalo la kuleta hapa kweli? Ndio maana hata huyo shemeji yako amekudharau!Mke wa mdogo wangu Leo amenifunjia heshima yangu pasipo mm kutegemea nilipigia simu na maam angu mzazi kunieleza kuwa yuko kwa dogo kwa mke wake kajifungua basi wa kanipa niwasalimie nashangaa ana nisalimia kama mm Ni rika lake na mume wake eti "eti shem mambo" vitoto vya elf 2 ndio wakuniamkia mm hvyo kweli mbele ya mama angu mzazi mm baada ya kusalimiwa hvyo hata mudi wa kuwapa hongera nilikosa dah nimechukizwa sna na aian ya salama hiyo wakt mume wake ananiamkia mm kwashima zote
Mm nataka nimpigie dogo nimkanye na amuelekeze mke wake ni jinsi gani aniamkie vingine watanielewaa vibaya
Najua wewe usha changamka kama nusu saa ntaanza safari hapa then nikapate BUSARAUpo kabisa kiongozi , leo maji ya uzima haupigi kabisa ?
Amecote na mtu mwenyewe kama muandiko ndio huo. Ni bora hata hao wa 2000.Mke wa mdogo wangu Leo amenifunjia heshima yangu pasipo mm kutegemea nilipigia simu na maam angu mzazi kunieleza kuwa yuko kwa dogo kwa mke wake kajifungua basi wa kanipa niwasalimie nashangaa ana nisalimia kama mm Ni rika lake na mume wake eti "eti shem mambo" vitoto vya elf 2 ndio wakuniamkia mm hvyo kweli mbele ya mama angu mzazi mm baada ya kusalimiwa hvyo hata mudi wa kuwapa hongera nilikosa dah nimechukizwa sna na aian ya salama hiyo wakt mume wake ananiamkia mm kwashima zote
Mm nataka nimpigie dogo nimkanye na amuelekeze mke wake ni jinsi gani aniamkie vingine watanielewaa vibaya