Nipo na mapumziko ya siku 5 kwanza , hivyo nipo home tu , kujipongeza ni mda wote tu bwasheeNajua wewe usha changamka kama nusu saa ntaanza safari hapa then nikapate BUSARA
In alcohol there's wisdom π
Kesho nitampigia mam nijue aandeleaje kisha nione ataniamkiaje mm kama aTrudia na Mkanya palepaleUngemwambia live anayemvua ni mdogo wako sio wewe hivyo awe na adabu
Ni kweli ni so thatUko so primitive Aisee
Kabla haujasema amekudharau jaribu kujiuliza ni kitu gani cha maana ulichomfanyia ambacho kitakutambulisha kuwa wewe ni kaka mkubwa kwa mumeMke wa mdogo wangu Leo amenifunjia heshima yangu pasipo mm kutegemea nilipigia simu na maam angu mzazi kunieleza kuwa yuko kwa dogo kwa mke wake kajifungua basi wa kanipa niwasalimie nashangaa ana nisalimia kama mm Ni rika lake na mume wake eti "eti shem mambo" vitoto vya elf 2 ndio wakuniamkia mm hvyo kweli mbele ya mama angu mzazi mm baada ya kusalimiwa hvyo hata mudi wa kuwapa hongera nilikosa dah nimechukizwa sna na aian ya salama hiyo wakt mume wake ananiamkia mm kwashima zote
Mm nataka nimpigie dogo nimkanye na amuelekeze mke wake ni jinsi gani aniamkie vingine watanielewaa vibaya
Nitawapigia simuIlitakiwa kabla haujafika kwke umwambie mme wake aina ya salamu uitakayo ili usikwazike
Wee pumbafu nnKabla haujasema amekudharau jaribu kujiuliza ni kitu gani cha maana ulichomfanyia ambacho kitakutambulisha kuwa wewe ni kaka mkubwa kwa mume
Namaanisha usitake heshima kwa nguvu unatakiwa umtendee mambo ambayo akiyakumbuka atakupa heshima yeye mwenyewe inawezekana haujawahi kimpa hata zawadi yoyote tangia ajifingue au yawezekana haujawahi kwenda kumuona hospital kipindi anaumwa au hata siku ya kujifungua
In short ni kwamba umeyataka mwenyewe na unastahili hiyo salam
AnaemtiaUngemwambia live anayemvua ni mdogo wako sio wewe hivyo awe na adabu
Hata ivyo ulipiga kazi non_stop bila kupumzika ulitueleza wiki iliyo pita...Nipo na mapumziko ya siku 5 kwanza , hivyo nipo home tu , kujipongeza ni mda wote tu bwashee
Acha upuuz m siwezi salimiwa na kabinti cha juz eti mamboUkute wewe nae ni baba wa familia, wanawake wanavumilia mengi sana ππ
Huwa napata kigugumizi kuitikia.Vipi sauti nyororo ya mke wa mdogo wako hujaipenda.
Kwanza mimi sipendi kuamkiwa licha ya kilomita kusoma nyingi lakini shikamoo inanikata sana
Ji ukweli mm ni mkubwa ila kwake kuniambia mm mambo hapa aise kikwetu kwetu haipo aise ni amani dharau sna anajiona msomi sijuiVipi sauti nyororo ya mke wa mdogo wako hujaipenda.
Kwanza mimi sipendi kuamkiwa licha ya kilomita kusoma nyingi lakini shikamoo inanikata sana
Mkuu hadi kukosa muda wa kuwapa hongera baada ya kuamkiwa hvyo dahKo hilo jambo limekuuma sanaa??
Hapan hapan kimila ni Mwiko na sitegemei kula mke wa mchepuko wa kak zangu au wadogo zanguMpe yeye kitu anataka....