Hi ni dharau au kukosa adabu? Mke wa dogo kanisalimia mambo badala ya shkamoo!

Hata ivyo ulipiga kazi non_stop bila kupumzika ulitueleza wiki iliyo pita...

Hope usha pendeza na hata mwandiko wako unaonyesha umeanza kua HIGH 😆☺️
Sure ila sio kihivyo mkali , ila na enjoy sana maisha ya kula vyombo na kuwa open😂😂😂
 
Ungempasha hapo hapo umwambie mambo ya nyokwe....
Dada mbna umebadilika sna siku hz una majibu nyoko sana siku hz watu wamesha kuaribu huku Nilikuacha ukiwa mtu poau sna ila sas hv hapa kwa kweli
 
Nipo na mapumziko ya siku 5 kwanza , hivyo nipo home tu , kujipongeza ni mda wote tu bwashee
Acheni. Mapombe na ninyi mnajianika hapa kama watu a aana kumbe walevi wa double kiki
 
Dada mbna umebadilika sna siku hz una majibu nyoko sana siku hz watu wamesha kuaribu huku Nilikuacha ukiwa mtu poau sna ila sas hv hapa kwa kweli
Ulinitelekeza kabisa kaka angu nikaangukia kwa watu wenye midomo michafu nikaharibika...
Ila najitahidi kuacha
 
Unataka uamkiwe una hela ? Au unamhudumia huyo mdogo wako na mkeo ? Maana mwanaume anayeishi kwao anaitwa kijana anayetegemea ugali wa shikamoo. Heshima ukiilazimisha utadumaza akili yako ndugu yangu tafuta hela uanze kujenga shikamoo za kwanza utazipata kutoka kwa mafundi. Baadae zitaanza kuja kutoka kwa wapangaji na zitakuja mpaka utazikataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…