Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Kuna mikoa ukienda utkula shikamoo mpaka uchakae mfano Mara, naipenda Zanzibar Kule hakuna shikamoo kitoto kidgo utasikia " assallaam aleykhum" mkoloni kama mtoa mada ataitikia hiyo Salam "marahaba "Vipi sauti nyororo ya mke wa mdogo wako hujaipenda.
Kwanza mimi sipendi kuamkiwa licha ya kilomita kusoma nyingi lakini shikamoo inanikata sana
Ee tena na ndo madaktari makini sana...Anajifanya kuchukia wakati akiumwa sindano za makalio zinamhusu tu😅 na sisi walevi ndio wahusika wakuu🤣🤣🤣
Hawakujui hao...Nitakuchapa Jirani 🤣🤣🤣
Pombe ina akili kubwa , mimi sijawahi kufanya kitu cha maana duniani kama sijawakaaaEe tena na ndo madaktari makini sana...
Kuna daktari pale Tarakea nilienda kipindi fulani... mtt akapata nimonia baridi mwezi wa 7...lakini yule daktari alimtibu mtt kwa kudunga zile sindano huku yuko moto...nilikua naogopa lla nurse akawa anasema nisihofu ni daktari mzuri sana...na kweli mtoto akapona fresh
Unadhani huwa hakuoni unavyomuangalia kwa jicho la taamaaa kama fisiMke wa mdogo wangu Leo amenifunjia heshima yangu pasipo mimi kutegemea nilipigia simu na maam angu mzazi kunieleza kuwa yuko kwa dogo kwa mke wake kajifungua basi wa kanipa niwasalimie nashangaa ana nisalimia kama mimi Ni rika lake na mume wake
Eti "eti shem mambo" vitoto vya elf 2 ndio wakuniamkia mm hvyo kweli mbele ya mama angu mzazi mm baada ya kusalimiwa hvyo hata mudi wa kuwapa hongera nilikosa dah nimechukizwa sna na aian ya salama hiyo wakati mume wake ananiamkia mimi kwashima zote
Mimi nataka nimpigie dogo nimkanye na amuelekeze mke wake ni jinsi gani aniamkie vingine watanielewaa vibaya
Mgonjwa huyuYani hapo point ni kuambiwa shem mambo nawewe ukakasirika.
Kwahiyo ni hayo tu .polesana
Nyama ya hamu kama binamu!!!Shemeji nyama ya hamu, zinduka bwashee
Sure broNyama ya hamu kama binamu!!!
Mimi ninachomshauri akaushe tu, heshima pesa shikamoo makeleleSasa na wewe sio kila kitu ni cha kuleta humu, vingine mnaelezana tuu kwenye familia. Binti Sayunii Njoo umpe huyu jamaa ushauri
Nipo machoooSure ila sio kihivyo mkali , ila na enjoy sana maisha ya kula vyombo na kuwa open😂😂😂
Ndio nimechukia sanYani hapo point ni kuambiwa shem mambo nawewe ukakasirika.
Kwahiyo ni hayo tu .polesana
Mkuu embu acha utoto sasaMke wa mdogo wangu Leo amenifunjia heshima yangu pasipo mimi kutegemea nilipigia simu na maam angu mzazi kunieleza kuwa yuko kwa dogo kwa mke wake kajifungua basi wa kanipa niwasalimie nashangaa ana nisalimia kama mimi Ni rika lake na mume wake
Eti "eti shem mambo" vitoto vya elf 2 ndio wakuniamkia mm hvyo kweli mbele ya mama angu mzazi mm baada ya kusalimiwa hvyo hata mudi wa kuwapa hongera nilikosa dah nimechukizwa sna na aian ya salama hiyo wakati mume wake ananiamkia mimi kwashima zote
Mimi nataka nimpigie dogo nimkanye na amuelekeze mke wake ni jinsi gani aniamkie vingine watanielewaa vibaya
Katoto cha elf 2005 hawez niambia mm mambo she never unless ni mchepukoMgonjwa huyu
Utoto gani kaka kitoto cha elf 2 ndio wakuniamkia hvyoMkuu embu acha utoto sasa