Ramark
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 1,989
- 1,447
Rethink broHichilema amepiga bunduki wazambia wangapi , Ameteka wangapi , amebambikia kesi wangapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rethink broHichilema amepiga bunduki wazambia wangapi , Ameteka wangapi , amebambikia kesi wangapi ?
Hichilema amepiga bunduki wazambia wangapi , Ameteka wangapi , amebambikia kesi wangapi ?
Huwezi kupata Rais mkamilifu,apongezwe kwa mazuri yake.HH anachukiwa na matajiri wenziye ile mbaya!
Jamaa ni mtu wa visasi kama JPM na wengi wa wafanyabiashara wakubwa hasa ambao picha zilikuwa haziendi anawasumbua kwa kutumia ZRA.
Niwe mkweli sijakuelewa.Strong currency ni msiba kwa nchi maskini na haina msaada kama watu wanavyofikiria, maskini wanahitaji weak currency ili wauze zaidi na ukiuza zaidi maana yake kazi nyingi zaiid kwa watu wako, ni kitu kinachojulikana vizuri sana in Economics, kama una import sana yes you need strong currency lakini kwa nchi maskini unataka export zaidi kuliko import ili kujenga uchumi wako, is complicated lakini in general as a poor nation ni bora kuwa na weak currency
Muongo mkubwa wewe mayuMsipende kudanganyana watu jamani kwa mambo msiyoyafahamu.
Nipo Ndola Zambia hadi leo hii zaidi ya wapinzani wa HH wa nne wana kesi za uhujumu uchumi na mali zao zimeshataifishwa.
DuhAnamaanisha katika kuinua uchumi,yaani mazuri ya JPM.Nadhani Magu amewahisema kua atakumbulwa kwa mazuri.Tafuta clip hiyo.
Itakuwa wahujumu uchumi wa kweli sio wa kutengenezaHH ana style ya Magu ila kijanja. Makada wa chama tawala mmojammoja anapewa kesi za uhujumu uchumi huku mali zikitaifishwa. Waliokuwa mawaziri sasa hivi tumbo joto. Kisasi cha HH sio poa. Kama hufuatilii siasa za Zambia unaweza ukamwona ni malaika.
Amepora bureau de change ngapi!? Ameweka wapi upendeleo WA kikabila, ameminya wapi demokrasia, Kwa kweli hawafananiHichilema amepiga bunduki wazambia wangapi , Ameteka wangapi , amebambikia kesi wangapi ?
Wapi ulimuona Magufuli anamfyatulia mtu risasi?Hichilema amepiga bunduki wazambia wangapi , Ameteka wangapi , amebambikia kesi wangapi ?
Ungejua kwamba kwacha ya Zambia iko kwenye crisis hata usingeongea..Mambo makubwa mawili anayofanya Rais wa Zambia katika kujenga nchi leo ndiyo aliyokuwa anafanya Magufuli enzi za uhai wake. Leo hii Zambia wanafurahi.
View attachment 2220919
"The implications of words such as "strong" and "weak" can mislead people to believe that an appreciating currency is always better for the economy than a depreciating currency, but this is not the case. In fact, there is no simple connection between the strength of a country's currency and the strength of its economy."Strong currency ni msiba kwa nchi maskini na haina msaada kama watu wanavyofikiria, maskini wanahitaji weak currency ili wauze zaidi na ukiuza zaidi maana yake kazi nyingi zaiid kwa watu wako, ni kitu kinachojulikana vizuri sana in Economics, kama una import sana yes you need strong currency lakini kwa nchi maskini unataka export zaidi kuliko import ili kujenga uchumi wako, is complicated lakini in general as a poor nation ni bora kuwa na weak currency
Kama SamiaTanzania huwa hatukosei kuleta viongozi.
Mara zote tunakuwa mfano wa kuigwa.
Na bado watatokea wengi sana kumuiga Magufuli.Huyu SUKUMA GANG
We Mataga toa hapa usukuma gang wako
View attachment 2220944
View attachment 2220945
View attachment 2220946
View attachment 2220948
Ungejua kwamba kwacha ya Zambia iko kwenye crisis hata usingeongea..
Hiyo Nchi ime default haiwezi tena kulipa madeni licha ya kuitwa Middle Income kwa hiyo inapangiwa cha kufanya na Bretton Woods Institutions
Hapo wanajaribu kujikwamua tuu ndio maana wanatekeleza maelekezo ya WB/IMF