Hidden cancer cures

Hidden cancer cures

Huyu dokta wetu FAKE tatizo mkali na ana jazba. Sawa kansa imetafitiwa huko ma ulaya miaka 130 wamesema hakuna dawa . Kina stev job imewaua . Wewe umesema dawa ipo ya chakula. Basi itangazie dunia. Na sio kuonea watu waliokata tamaa. ......harafu nyoosha maelezo na sio kurukaruka kuna mteja wako hapo juu kakuuliza dozi ya juice ya limau anywe vipi . Baadala ya kumjibu unatoa maelezo mengi yaliyo nje ya swali . Hivi ingekuwa ndio ngonjwa kakufuata hospital yako na kapata jibu hilo si kapoteza nauli yako.

We jamaa utakuwa na Matatizo
 
Nachoweza kusema ni kukupa hongera sana ya kutufungua akili, maana unajitahidi zaidi ya sana kutuamsha ingawa juhudi zako kuna baadhi ya mambo kama lile la kuhusu ukweli juu ya HIV kuna baadhi ya watu sijui ni kutokana na kuwa "brain washed" na propaganda zinazoendeshwa na wamagharibi ndio zilizowapelekea waone wewe Deception haupo sahihi?
Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akupe afya ,uwezo zaidi na moyo wa kujitolea ili Tuzidi kufaidika kutoka kwako.
Nakutakia kila la kheri.
 
Last edited by a moderator:
Deception endelea kutupatia elimu ambayo wengi hatuijui,hizo elimu rasmi za magonjwa kila mtu anazo na hao wanaopinga kwa kubase kwenye elimu tuliyomezeshwa ya wazungu watambue ya kuwa hata sisi tunazifahamu na kwenye vyombo mbalimbali vya habari hutangazwa magonjwa yasiyokuwa na tiba wala kinga.HAPA TUNAHITAJI MAWAZO MAPYA TOFAUTI NA TULIYOMEZESHWA NILITEGEMEA HAO MADAKTARI NA WASOMAJI WENGINE WASINGEPINGA BALI WAWE WENYE KUDADISI KATIKA SEHEMU AMBAZO ZINAMLETEA UTATA KICHWANI MWAKE.ILA KUPINGA TU BILA POINT ZA MSINGI HAZITUSAIDII SISI WAAFRICA AMBAO TULIAMINISHWA NA WAZUNGU KABLA YA WAO KUJA HATUKUWA NA HISTORIA NA HAO NDIO WAMETUMEZESHA MAVITU NA KUTUFANYA TUWE WATU WAKUKARIRI TU BILA KUWA NA CREATIVITY YOYOTE.KUWA MDADISI NA USIWE TU MTU WA KUPINGA HOJA..
 
Huyu dokta wetu FAKE tatizo mkali na ana jazba. Sawa kansa imetafitiwa huko ma ulaya miaka 130 wamesema hakuna dawa . Kina stev job imewaua . Wewe umesema dawa ipo ya chakula. Basi itangazie dunia. Na sio kuonea watu waliokata tamaa. ......harafu nyoosha maelezo na sio kurukaruka kuna mteja wako hapo juu kakuuliza dozi ya juice ya limau anywe vipi . Baadala ya kumjibu unatoa maelezo mengi yaliyo nje ya swali . Hivi ingekuwa ndio ngonjwa kakufuata hospital yako na kapata jibu hilo si kapoteza nauli yako.

Unatafuta umaarufu,na uzuri jamaa kakushtukia wala haangaiki kukujibu.
 
Huyu dokta wetu FAKE tatizo mkali na ana jazba. Sawa kansa imetafitiwa huko ma ulaya miaka 130 wamesema hakuna dawa . Kina stev job imewaua . Wewe umesema dawa ipo ya chakula. Basi itangazie dunia. Na sio kuonea watu waliokata tamaa. ......harafu nyoosha maelezo na sio kurukaruka kuna mteja wako hapo juu kakuuliza dozi ya juice ya limau anywe vipi . Baadala ya kumjibu unatoa maelezo mengi yaliyo nje ya swali . Hivi ingekuwa ndio ngonjwa kakufuata hospital yako na kapata jibu hilo si kapoteza nauli yako.

kwani dokta ORIGINAL wewe una tiba gani?!
 
We jamaa na huku umekuja??
Kama unaona haya Maelezo hayakufai si upige kimya tu
 
Kansa duniani haina tiba. Kama yeye ana tiba basi aitangazie dunia na sio jf
 
Umegundua dawa ya ukimwi na kansa. Fine and good. Itisha mkutano mkubwa kama lowasa tangaza. Na sio umekaa nyuma ya key board. Na just id tu unatangazia watu waliokata tamaa . Kisa una degree moja ya sayansi . Na masters nje ya tanzania. Ukiulizwa au kukosolewa baadala ya kujibu unakuwa mkali na kuonyesha tafiti za watu.
 
Unabisha bila point, c ajabu ndo maana mwapasua watu vichwa badala ya tumbo???? Hata kama anadanganya toa point Za kumkanusha sio kupiga kelele hapa.
 
Unasema it wont work umejaribu lini na mara ngapi???

Pia hii sidhani kama ilikuwa ni discussion,jamaa katoa hoja ukielewa unashukuru ama una kaa kimya,hujaelewa unauliza na kama unapinga unapinga kwa hoja.

Lete hoja zako sasa

Hehe! you are so stupid! kubishana na wewe ni kupoteza muda...
Nyie wabongo ambao mshajiwekea kichwani kua anything artificial is harmful kuwa-convert hua ni mziki..
 
There is no cure for cancer,
But you can protect yourself from getting cancer,eat fruits, vegetables, avoid chemicals radiations, exrcise, etc
Your body immune system will automaticaly remove cancer cells and you will live healthy.
 
There is no cure for cancer,...

Kwako wewe ndio hamna tiba,ila kwangu mimi tiba ya cancer ipo.

.....But you can protect yourself from getting cancer,eat fruits, vegetables, avoid chemicals radiations, exrcise, etc Your body immune system will automaticaly remove cancer cells and you will live healthy.

Je wewe uliyeandika hapo juu kwenye nyekundu ndiye yuleyule aliyeandika hapo juu kwenye quote ya kwanza?
Sina uhakika kama uelewa wako uko sawasawa kuhusu ulichoandika.Hebu tazama tena ulichoandika,kisha tafakari.
 
Thumbs up mr #Deception ... Forget about those ------ who wanna knock you down.... You are here to educate people but not to argue with idiot ones with their lame points. I always read your threads on Jf and their so useful and it's obviously you are playing a conducive role to educate people of Tanzania and the world at large. Keep going......
 
There is no cure for cancer,
But you can protect yourself from getting cancer,eat fruits, vegetables, avoid chemicals radiations, exrcise, etc
Your body immune system will automaticaly remove cancer cells and you will live healthy.

Umesema hakun Cure for Cancer Sasa Iweje Body immune iremove Cancer cells Automatically kama Immune yangu ni Nzuri.. inamaana Wote Walio n Kansa hata Steve Job hakuwa N Lishe Bora Yule
 
Kwako wewe ndio hamna tiba,ila kwangu mimi tiba ya cancer ipo.

Je wewe uliyeandika hapo juu kwenye nyekundu ndiye yuleyule aliyeandika hapo juu kwenye quote ya kwanza?
Sina uhakika kama uelewa wako uko sawasawa kuhusu ulichoandika.Hebu tazama tena ulichoandika,kisha tafakari.

Hapo umemkamata vizuri, hahahaha, nimecheka sana!
 
.......Cha msingi kukumbuka hapa ni kwamba,hatua ya kwanza na ya pili ni lazima kuzipitia.Sasa kwenye hatua hii ya tatu ya kuua chembe za cancer tayari nimeshazungumzia vitamin B17 na utaratibu wake wa matumizi.Tiba nyingine ambazo zinaweza kutumika kwenye hatua hii ya tatu ni Cannabis oil/Hemp oil.Hii ndio mojawapo ya sababu ambayo imeifanya bangi kupigwa marufuku na watu wabinafsi wanaolinda biashara zao....

Sasa tuzungumzie cannabis/bangi;

Kama kawaida inabidi mkumbuke kwamba ili uwe na uhakika wa kupona cancer lazima upitie hatua zote tatu,yaani,kuweka damu ya mgonjwa iwe alkaline,kuondoa sumu mwilini na ya tatu kuua chembe za cancer.Kwenye hatua zote mbili nina uhakika wote mnazijua vyema.Sasa kwenye hatua hii ya tatu tayari tumeshazungumzia Vitamin B17/Laetrile/Amygdalin,leo nitazungumzia cannabis/bangi.

Hakuna mtu yeyote duniani aliye na uwezo wa kupinga kwamba cannabis inaua chembe za cancer.Cannabis/bangi ilitumika miaka mingi sana kutibu magonjwa mbalimbali ikiwemo cancer,watu wenye nguvu na ubinafsi wamezuia siri hii kwa manufaa yao binafsi.US government yenyewe inajua kwamba cannabis ina uwezo wa kuua chembe za cancer,Ronald Reagan mwenyewe alijua umuhimu wa cannabis/bangi na ndio maana aliwahi kuilima bangi,lakini yeye mwenyewe aliku mstari wa mbele kupinga matumizi ya bangi baada ya kupata shindikizo kutoka kwa wenzake ambao ni wamiliki wa viwanda vya madawa.

Ili cannabis/cannabinoid iwe na nguvu zaidi,inabidi itumiwe kama extract kwa kutumia solvent extraction.Active ingredient/vimelea vinavyohusika kuua chembe za cancer kutoka kwenye bangi ni CANNABIDIOL(CBD) na TETRAHYDROCANNABINOL(THC).Najua kwa watu wengi hiki ni kitu cha kushangaza sana kwa kuwa wanajua na wamesikia kwamba bangi ni haramu.Lakini inabidi mkumbuke kuwa,hata hao wanaosema bangi ni haramu huwa wanasema ni haramu kuvuta tu,sasa kama mwingine anaitumia kukamulia kwenye sikio kuondoa maumivu,je,uharamu wake uko wapi?Wengine wanakula kama mboga,je,ni haramu?wengine wanaitumia kuondoa kichefuchefu,je,ni haramu?Wengine wanatumia mafuta ya mbegu za bangi kulinda ngozi,je,ni haramu?Hata mahospitalini wanatumia dawa kama vile DRONABINOL na NABILONE ambazo zimethibitishwa na FDA ya Marekani ili kuondoa side effects zilizosababishwa na chemotherapy kwa wagonjwa wa cancer,dawa hizi zimetengenezwa kwa kutumia bangi.

Hawa jamaa wanazuia watu kujua matumizi makubwa sana ya bangi likiwemo lile la kutibu cancer na badala yake wanajifanya kukubali kwamba kweli bangi ina faida lakini wanataja faida ndogondogo tu,kubwa hawazitaji na hata wakizitaja watakwambia bado hazijakuwa proved,sasa tangu miaka 130 ya utafiti wa cancer ipite hadi leo hii wanashindwa vipi kutafuta proof?Kitu kingine ambacho hakiingi akilini ni pale wanaporuhusu bangi itumike baadhi ya states zao kama vile California nk na kuzuia states nyingine wasitumie,mshawahi kujiuliza kwa nini waruhusu sehemu moja lakini wazuie sehemu nyingine ilihali bangi ni haramu?Kama kweli bangi ni haramu kwa nini wasizuie sehemu zote tu?Akili kichwani kwako.

Kati ya mambo rahisi sana kujua ukweli wake,bangi ni mojawapo,ukiamua tu kujua ukweli wa bangi wala haipiti wiki moja utakuwa umejua kila kitu.

Sasa kwenye tafiti nyingi sana imebainika bangi ina uwezo wa kuua chembe za cancer,hata US government yenyewe wanakubali kwamba bangi ina uwezo huo,sasa kwa nini hawaruhusu bangi itumike kwa wagonjwa wa cancer?Wanazuia isitumike active ingredient yenyewe ya bangi kwa kiwango kinachotakiwa na badala yake wanasema eti bangi ikitumika pamoja na chemotherapy au mionzi inaongeza uwezo wa tiba hizo mbili kutibu cancer,yaani huu ni uongo mtupu,wanachanganya tiba sahihi na sumu zao za chemo na mionzi wakati bangi peke yake ina uwezo wa kipekee.Sasa wewe mwenyewe fikiria,kama chemo na mionzi yenyewe husababisha madhara/cancer mwilini ukiachilia mbali ugonjwa wenyewe wa cancer halafu wanasea ukitumia bangi bado unapata nafuu,je,hamuoni kwamba kama mtu atatumia akili atagundua kwamba kweli kumbe bangi ina uwezo mkubwa sana?Kwa maana kwa kesi hii bangi itakuwa inapambana na madhara ya chemo na mionzi na wakati huohuo inapambana na cancer yenyewe.

Kuna watu walitumia na wanatumia bangi extract na bado hawapitii hatua ya kwanza na ya pili nilizotaja na bado wanapona,hapa ndipo utakapoona kwamba bangi ni suala lingine kabisa.Hawa jamaa kuizuia ili kulinda maslahi yao hawajakosea kabisa.Huko Marekani kuna watu wameshafunguka akili na kujua umuhimu wa bangi na ndio maana maandamano ya kutaka bangi iruhusiwe marekani ni jambo la kawaida sana,lakini kwa nchi zilizo gizani kama zetu hizi huwa wanacheka na kushangaa eti wanaposikia watu wanaandamana kutaka bangi iruhusiwe,ama kweli ujinga ni kitu kibaya sana,wakati tunawacheka wenzetu wakati huohuo wenzetu nao wanatucheka sisi na kweli wao ndio wana haki ya kutucheka.

Ili kujua jinsi ya kupata extract kutoka kwenye bangi na mambo mengine muhimu nitawakea documentary hapo chini kwa kumbukumbuku zenu.Rick Simpson ni mmoja wa watu wanaopigania bangi US Canada,anaelimisha watu bure bila kudai pesa,anafanya hivyo kwa kuwa yeye mwenyewe ndugu zake ni wahanga wa cancer kabla hajajua ukweli huu wa bangi,pia yeye mwenyewe ni shuhuda baada ya kujitibu cancer ya ngozi kwa kutumia bangi.Kama mtu anatoa uelewa huu bure bila kudai fedha,je, watu hawaoni kama kuna ukweli hapo?

Pia wewemwenye unaweza kufuatilia kwenye mitandao mingine kuhusu bangi na cancer,yaani ukweli huu haufichiki,karibu kila site utakayoingia lazima itaonesha kwa namna moja ama nyingine kwamba bangi inaua chembe za cancer.Hata wenyewe wanakubali angalau huwa wanasema kwamba bangi inaua aina fulani ya cancer tu badala ya kusema kwamba inaua chembe za cancer yoyote.Sasa wakati wao wanaendelea kujifanya wanafanya utafiti kuhusu bangi huku wale wanaojua ukweli tayari wanatumia bangi kujitibu.Hawa jamaa hawawezi kumaliza utafiti huu leo wala kesho,miaka 130 sasa imepita bado hawajui.Sasa hata sisi tukijua ukweli huu tutakuwa tunatumia bangi kujitibu cancer wakati wao wanaendelea na utafiti,washenzi sana hawa watu.

Pitia wenyewe kwenye mitandao ujionee,au unaweza kuperuzi hizi baadhi ingawa nazo zimeficha baadhi ya mambo;

Federal Government Finally Admits Cannabis Can Help Kill Cancer Cells

Marijuana can kill cancer cells, says US government-funded research - Americas - World - The Independent

'Major hypocrisy': US govt-funded agency admits marijuana can kill cancer cells ? RT USA

The US Finally Admits Cannabis Kills Cancer Cells | Collective-Evolution

Cannabis kills cancer cells and shrinks brain tumours, report reveals | Daily Mail Online

Cannabis and Cannabinoids - National Cancer Institute

RUN FROM THE CURE/RICK SIMPSON;

https://www.youtube.com/watch?v=0psJhQHk_GI
 
Back
Top Bottom