Hifadhi ya Taifa Kigosi yafutwa rasmi na kuwa msitu wa hifadhi ya Kigosi

Ameuziwa achimbe au awinde!?..lete uthibitisho ili nijue siyo umbea mliozowea,maana awamu hii wambea mmekua wengi
Awamu ya nne ilileta kijikampuni chenye ushirika na mstaafu na wakaanza exploration Magufuli alipoingia wakatumwa Majeshi kwenda kulinda kusichimbwe chochote.

Na sasa hivi naona mambo ni yaleyale.

Na stori hiyo ililetwa humu jf
 
Awamu ya nne ilileta kijikampuni kenye ushirika na mstaafu na wakaanza exploration Magufuli alipoingia wakatumwa Majeshi kwenda kulinda kusichimbwe chochote.

Na sasa hivi naona mambo ni yaleyale.
Kijikampuni Wala hukitaji,unataka niamini,nikienda kwenye kahawa na Mimi nikaseme hivyohivyo,then um ea na chuki kwa jakaya na mama vinaenea,kwa hiyo jakaya hakutosheka na mauzo ya gas ya mtwara!?...πŸ˜ƒπŸ˜ƒ Acheni chuki na uzabizabina enyi watu
 

Hifadhi ya Taifa ya Kigosi ina ukubwa wa kilometa za maraba 7,460 imezungukwa na mikoa ya Shinyanga, Geita, Tabora na Kigoma. Hifadhi ya Kigosi metangaza rasmi kuwa Hifadhi ya Taifa katika tangazo la gazeti la serikali GN la mwaka 2019

Awali pori hilo lilikuwa chini ya Wakala wa Misitu Tanzania {TFS}, na mwaka 2019 likapandishwa hadhi kuwa chini ya usimamizi wa Hifadhi za Taifa Tanzania [TANAPA] ambapo hifadhi hiyo ilikuwa inazuia shughuli za kiuchumi kufanyika ndani ya pori hilo hali iliyosababisha mgogoro na wananchi wa eneo hilo.

Wananchi halmashauri ya Ushetu kunufaika na hifadhi ya Kigosi​

July 10, 2023, 11:35 pm

Mbunge wa Jimbo la Ushetu (kushoto) Emmanuel Cherehani na mjumbe wa Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi Taifa Livingstone Lusinde (kulia). Picha na Sebastian Mnakaya

Source: Wananchi halmashauri ya Ushetu kunufaika na hifadhi ya Kigosi – Kahama FM
 
Wahuni wamedhamiria kuimaliza nchi kwa kuuza rasilimali zote na kujaza mabilion kwenye account zao na familia zao. 🀣
 
Organzied Crime kila mahala 😎
 
Ameuziwa achimbe au awinde!?..lete uthibitisho ili nijue siyo umbea mliozowea,maana awamu hii wambea mmekua wengi
 
 
Kampuni ilipewa kibali 2005,jakaya anahusika vipi!?..Tena 2009 akatunga sheria ya kuibana kampuni hiyo shughuli zake zisiwe halali,kwa nini hukusema kampuni ililetwa na mkapa ukamrukia jakaya!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…