Aisee ! So akisha gegedwa hana jipya tena🤣🤣🤣🤣Uki date chawa/masikini wa akili lazima yakukute. Kwangu unakuja kwa uber unarudi na UDA imeisha hiyo
Pisi kali hazihitaji hela ya mawazo, kama hutaki ivo oa wako mmoja tulia nae ndani watoto wakali wanahitaji matunzo sio kuwakiwa na Jua kama nguo mbichi.Anachofanya jamaa ni sahihi? Uhangaikie kununua gari kisa kumridhisha mwanamke?
Ni mgawanyo wa majukumu tu mkuuAisee ! So akisha gegedwa hana jipya tena🤣🤣🤣🤣
u r so evil
Hii ni dalili ya umasikini mkuu,Gari ni kitu cha kawaida sana wala sio a sign of wealth.Mbongo gari kwake kitu cha ajabu kweli
Ova