Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

Ukiendekeza ngono, na ngono itakuendesha wanawake wapo kadri unavokutana nao unawaona wazuri zaidi, zaidi na zaidi, ishi maisha binafsi siyo kwa ajili ya nani na nani anataka au ili nionekane
Huenda Ni swala la vipaumbele...Huenda vipaumbele vyangu ni ngono ndio vinanipa nguvu na ari yakutafuta Sawa ?
 
Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali.

Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo.

Hakuna mwanamke atakupenda the way ulivyo mhudumie mtoto wa watu hata kama huna hela uwe hata na gari anavokuja mtoto wa watu asichoke akae hata kwenye ma AC.

Video hapo chini kaongea mengi
View attachment 2717759
Kiki
 
Hapa umechanganya vitu viwili,kua na hela na kumiliki Gari {Sijui kwa kusema kwako kua na hela una maanisha kua na kiasi gani cha hela}
sasa hivi Dunia inahamasisha watu kutumia public transport badala ya private car ili kupunguza Air pollution,issue hapa kwa Bongo kinachotakiwa ni kuimprove public transport,kwa mji kama Dar,hivi kila mtu akimiliki Gari hali itakuaje barabarani?

Luxembourg walideclare free public transport miaka mitatu iliyopita,hii yote katika kupunguza traffic jams na kulinda mazingira.
Kwa developed countries kutumia public transport ni raha na pride, ila kwa nchi zetu hizi unahesabika masikini tu.

Ndio nchi pekee mwenye gari anaonekana kuwa ana hela kumbe ni means ya kumrahisishia kazi zake tu.
 
Ukiendekeza ngono, na ngono itakuendesha wanawake wapo kadri unavokutana nao unawaona wazuri zaidi, zaidi na zaidi, ishi maisha binafsi siyo kwa ajili ya nani na nani anataka au ili nionekane
Ngono usipoitawala inakupa umasikini mkubwa sana. Just imagine mtu ananunua gari ili ang'oe pisi kali, ukosefu wa akili huo
 
Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali.

Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo.

Hakuna mwanamke atakupenda the way ulivyo mhudumie mtoto wa watu hata kama huna hela uwe hata na gari anavokuja mtoto wa watu asichoke akae hata kwenye ma AC.

Video hapo chini kaongea mengi
View attachment 2717759
Kwa anaejua bei ya hiyo gari naomba anijuze.

Nikimaansha hadi inafika Bongo na kila kitu.
 
Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali.

Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo.

Hakuna mwanamke atakupenda the way ulivyo mhudumie mtoto wa watu hata kama huna hela uwe hata na gari anavokuja mtoto wa watu asichoke akae hata kwenye ma AC.

Video hapo chini kaongea mengi
View attachment 2717759
Hivi hii ng'ombe si walisema jogoo hawiki...? Kwahiyo starehe yake ni magari 🚮🚮

Ukiona nina wivu basi na wewe ni ng'ombe kama yeye
 
Uzi wa KIPUMBAVU ulioandikwa na MPUMBAVU! na hiyo video inamuonesha MPUMBAVU asiyejielewa akizungumza UPUMBAVU! na range yake ya milioni 19, bei sawa na Kluger au Alpard... anajiona kashawin maisha tayari.
Range siku hizi sio gari za kutisha jamaa anaendesha used car anatunisha ta.ko. Kuna jamaa anaitwa Chris's Lukosi anayauza mengi kwa mafungu pale salasala
 
Kama ukoo mzima hawana Gari unategemea nini?
Hiyo ndio tafsiri ya athari Mbaya za Umaskini.

Fikiria kijana au Binti anaamini kuwa MTU kuvaa vizuri na nguo Safi ndio kuwa na Pesa.
Wanatumia Ile msemo wa Maskini kuwa kuvaa huficha umaskini.
Wanasahau kuwa kuvaa kunaficha umaskini Mbele ya Maskini wenzako.
Tabia za mtu mwenye akili za kimaskin hazijifichi hata akipata pesa kidgo.
 
Ongeeni yote ila msijifariji sana pesa inanafasi yake maishani pesa inaheshimisha japo hutakiwi kuwa na pesa utu ukakutoka ukaona wengine hawana maana ni jambo baya. Ila usije jidanganya kisa huna hela ukahisi hayo ni maisha mazuri unatakiwa uyapende kataa sana umaskini.

Gari siku hizi ki kitu cha muhimu kuwa nacho kitakusaidia kuepuka karaha nyingi sana kwenye jamii na itakufanya uwe na usiri kwenye mambo yako.

Siwezi mpinga mtu anaehamasisha watu watafute hela na jamaa kaongea ukweli jamii zetu kibongo tunathamini vitu. Wenye nazo wanathamini utu wao.
Umeongea vizuri mkuu.
 
Back
Top Bottom