Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kama ukoo mzima hawana Gari unategemea nini?
Hiyo ndio tafsiri ya athari Mbaya za Umaskini.
Fikiria kijana au Binti anaamini kuwa MTU kuvaa vizuri na nguo Safi ndio kuwa na Pesa.
Wanatumia Ile msemo wa Maskini kuwa kuvaa huficha umaskini.
Wanasahau kuwa kuvaa kunaficha umaskini Mbele ya Maskini wenzako.