Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Ukisema haya hakikisha una hela zitakusaidia maishani.chanzo cha yote haya ni umasikini.
binti anayeamini mwenye gari ana hela,na mwenye gari aliyeliweka kipaumbele kama ishara ya kufanikiwa,wote hawa ni masikini wa mali mpaka akili.
Kwelichanzo cha yote haya ni umasikini.
binti anayeamini mwenye gari ana hela,na mwenye gari aliyeliweka kipaumbele kama ishara ya kufanikiwa,wote hawa ni masikini wa mali mpaka akili.
Ata kama jamani kweli wanawake chombo cha starehe lakini sio sasa ndio kuwatesa jamani.Ni mgawanyo wa majukumu tu mkuu
Hapa umechanganya vitu viwili,kua na hela na kumiliki Gari {Sijui kwa kusema kwako kua na hela una maanisha kua na kiasi gani cha hela}Ongeeni yote ila msijifariji sana pesa inanafasi yake maishani pesa inaheshimisha japo hutakiwi kuwa na pesa utu ukakutoka ukaona wengine hawana maana ni jambo baya. Ila usije jidanganya kisa huna hela ukahisi hayo ni maisha mazuri unatakiwa uyapende kataa sana umaskini.
Gari siku hizi ki kitu cha muhimu kuwa nacho kitakusaidia kuepuka karaha nyingi sana kwenye jamii na itakufanya uwe na usiri kwenye mambo yako.
Siwezi mpinga mtu anaehamasisha watu watafute hela na jamaa kaongea ukweli jamii zetu kibongo tunathamini vitu. Wenye nazo wanathamini utu wao.
Kweli kabisa ukiwa na gari mbona totoz unaenjoy nazo vizuri.Ongeeni yote ila msijifariji sana pesa inanafasi yake maishani pesa inaheshimisha japo hutakiwi kuwa na pesa utu ukakutoka ukaona wengine hawana maana ni jambo baya. Ila usije jidanganya kisa huna hela ukahisi hayo ni maisha mazuri unatakiwa uyapende kataa sana umaskini.
Gari siku hizi ki kitu cha muhimu kuwa nacho kitakusaidia kuepuka karaha nyingi sana kwenye jamii na itakufanya uwe na usiri kwenye mambo yako.
Siwezi mpinga mtu anaehamasisha watu watafute hela na jamaa kaongea ukweli jamii zetu kibongo tunathamini vitu. Wenye nazo wanathamini utu wao.
Ongeeni yote ila msijifariji sana pesa inanafasi yake maishani pesa inaheshimisha japo hutakiwi kuwa na pesa utu ukakutoka ukaona wengine hawana maana ni jambo baya. Ila usije jidanganya kisa huna hela ukahisi hayo ni maisha mazuri unatakiwa uyapende kataa sana umaskini.
Gari siku hizi ki kitu cha muhimu kuwa nacho kitakusaidia kuepuka karaha nyingi sana kwenye jamii na itakufanya uwe na usiri kwenye mambo yako.
Siwezi mpinga mtu anaehamasisha watu watafute hela na jamaa kaongea ukweli jamii zetu kibongo tunathamini vitu. Wenye nazo wanathamini utu wao.
Kweli kabisa ukiwa na gari mbona totoz unaenjoy nazo vizuri.
Gari muhimu jamani ili kupata pisi kali ugegede
Ukisema haya hakikisha una hela zitakusaidia maishani.
Hayupo mtu ambaye kakataa watu tutafute hela na kama kweli umezaliwa hapa duniani usitegemee mtu aje akwambie utafute hela maana ni jukumu lako.Ongeeni yote ila msijifariji sana pesa inanafasi yake maishani pesa inaheshimisha japo hutakiwi kuwa na pesa utu ukakutoka ukaona wengine hawana maana ni jambo baya. Ila usije jidanganya kisa huna hela ukahisi hayo ni maisha mazuri unatakiwa uyapende kataa sana umaskini.
Gari siku hizi ki kitu cha muhimu kuwa nacho kitakusaidia kuepuka karaha nyingi sana kwenye jamii na itakufanya uwe na usiri kwenye mambo yako.
Siwezi mpinga mtu anaehamasisha watu watafute hela na jamaa kaongea ukweli jamii zetu kibongo tunathamini vitu. Wenye nazo wanathamini utu wao.
Hawa ndio waleee! wamerudi kwa kasi.Huyo jamaa ana harakati gani huko mjini Daslam maana nimekutana na video zake mbili tatu za ujivuni kwelikweli
Kila mtu acheze ligi yake anayoiweza, iwe aina ya madem or whatever, kwangu mimi sipo kwenye level ya kufanya ili kumpata dem.Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali.
Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupenda the way jinsi ulivyo.
Hakuna mwanamke atakupa the way ulivyo mhudumie mtoto wa watu hata kama huna hela uwe hata gari anavokuja mtoto wa watu asichoke akae hata kwenye ma AC.
Video hapo chini kaongea mengi
View attachment 2717759
Wakati huo baba yake anakula mara mbili kwa siku kijijini huko.Anachofanya jamaa ni sahihi? Uhangaikie kununua gari kisa kumridhisha mwanamke?
Bwana wee na sijui kwa nini ukishamwaga bao basi ndio unaanza ona kasoro za pisi kali, mara tako limepinda, kwapa baya, vidole vimepinda kama tangawizi basi ni kuona kasoro tuuukiishakula pisi kali ukamwaga unagundua ni ufala tu,ulikuwa unasumbua.
Utakavyowaita Mkuu ila hawaliwi bure bureWatoto wakali wapi sema wadangaji labda, lakini sio mke awe hivo
kuna siku utakutana na shombo ya samaki ndo utachagua umwage kwanza au ukimbie harufuBwana wee na sijui kwa nini ukishamwaga bao basi ndio unaanza ona kasoro za pisi kali, mara tako limepinda, kwapa baya, vidole vimepinda kama tangawizi basi ni kuona kasoro tuu
Ukiendekeza ngono, na ngono itakuendesha wanawake wapo kadri unavokutana nao unawaona wazuri zaidi, zaidi na zaidi, ishi maisha binafsi siyo kwa ajili ya nani na nani anataka au ili nionekaneUtakavyowaita Mkuu ila hawaliwi bure bure