Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

Ukiendekeza ngono, na ngono itakuendesha wanawake wapo kadri unavokutana nao unawaona wazuri zaidi, zaidi na zaidi, ishi maisha binafsi siyo kwa ajili ya nani na nani anataka au ili nionekane
Huenda Ni swala la vipaumbele...Huenda vipaumbele vyangu ni ngono ndio vinanipa nguvu na ari yakutafuta Sawa ?
 
Kiki
 
Kwa developed countries kutumia public transport ni raha na pride, ila kwa nchi zetu hizi unahesabika masikini tu.

Ndio nchi pekee mwenye gari anaonekana kuwa ana hela kumbe ni means ya kumrahisishia kazi zake tu.
 
Ukiendekeza ngono, na ngono itakuendesha wanawake wapo kadri unavokutana nao unawaona wazuri zaidi, zaidi na zaidi, ishi maisha binafsi siyo kwa ajili ya nani na nani anataka au ili nionekane
Ngono usipoitawala inakupa umasikini mkubwa sana. Just imagine mtu ananunua gari ili ang'oe pisi kali, ukosefu wa akili huo
 
Kwa anaejua bei ya hiyo gari naomba anijuze.

Nikimaansha hadi inafika Bongo na kila kitu.
 
Hivi hii ng'ombe si walisema jogoo hawiki...? Kwahiyo starehe yake ni magari 🚮🚮

Ukiona nina wivu basi na wewe ni ng'ombe kama yeye
 
Uzi wa KIPUMBAVU ulioandikwa na MPUMBAVU! na hiyo video inamuonesha MPUMBAVU asiyejielewa akizungumza UPUMBAVU! na range yake ya milioni 19, bei sawa na Kluger au Alpard... anajiona kashawin maisha tayari.
Range siku hizi sio gari za kutisha jamaa anaendesha used car anatunisha ta.ko. Kuna jamaa anaitwa Chris's Lukosi anayauza mengi kwa mafungu pale salasala
 
Tabia za mtu mwenye akili za kimaskin hazijifichi hata akipata pesa kidgo.
 
Umeongea vizuri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…