Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

Mchekini huyu mwamba insta ana chuma kali sana za milioni 3 mpaka 4 "jacktan safari" ila mwaka huu usikose hata corolla ya kuzugia namba A na pisi kali unazila kama kawa.

ujue kina mwaju hawamind aina ya gar sema wana wa sinza mshawakaririsha mademu zenu kuwa crown ndiyo gari na kina bmw ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Bongo ukiwa na gari unahesabika umeyapatia sana maisha. Hata la kukodi tu zama nalo viwanja weka funguo kwenye kiuno attention inakuwa kubwa sana kwako.

Madalali wa magari wanakula sana totoz kali kali town acha tu.
Kwamba anaagiza kilo moja ya rost alafu funguo za crown mnyama kaziweka mezani kila saa anatoka kwenye kiti chake anafanya mambo ya push to start au gari anaiacha silencer huku sport light shwaaaa ili mradi watu wamuone mjini naye zimbaa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Town kuna vioja sana mkuu ๐Ÿ˜€
 
Maoni yako hayanabudi kuheshimiwa.

Sio kwa nia ya kujikweza, ila mimi binafsi nina gari 2, Discovery 4 hybrid na Nissan Dualis. Gari yangu ya kwanza nilinunua 2012 mara tu baada ya kumaliza Chuo Kikuu, ilikuwa ni Hyundai Coupe Sports car, nikauza.

Mara nyingi kama nikikosa mtu wa kuniendesha huwa napenda kutumia uber au bolt. Kuendesha kumenikinai kabisa. Pengine ni umri, lakini pia sidhani kama ni umri because I am turning 35 next year.

Gari natumia nikitoka nje ya mkoa au nikiwa na safari inayonilazimu sana kutumia gari kwa mizunguko ya mjini. Sioni kama gari ni kitu cha ajabu tena. Tunatofautiana sana kwakweli.
Chai.
 
Acheni kujitoa fahamu hapa,,tafuteni pesa mnnunue magari..unaishije bila gari while ni basic need Kwa maisha ya sasa.
 
Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali.

Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo.

Hakuna mwanamke atakupenda the way ulivyo mhudumie mtoto wa watu hata kama huna hela uwe hata na gari anavokuja mtoto wa watu asichoke akae hata kwenye ma AC.

Video hapo chini kaongea mengi
View attachment 2717759
Hahaha..
Ukweli mchungu
Mpunga Kwanza
 
Mchekini huyu mwamba insta ana chuma kali sana za milioni 3 mpaka 4 "jacktan safari" ila mwaka huu usikose hata corolla ya kuzugia namba A na pisi kali unazila kama kawa.

ujue kina mwaju hawamind aina ya gar sema wana wa sinza mshawakaririsha mademu zenu kuwa crown ndiyo gari na kina bmw ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Nyinyi mtakuwa mnaishi vijijini, pisi za kisasa zinajari pesa, hawana muda na gari labda umuhonge yeye ndio anaweza kukuelewa

Dunia ilipofika hakuna raha kama kutumia hizi Uber, unakwenda sehemu unapiga mtungi kwa kujiachia bila mawazo SAA ya kurudi barabarani itakuwaje.

Don't drink and drive, pesa ndio kila kitu, mtu anayekuja sehemu na Bodaboda na ana mawe wewe njoo hata na Cardilac hakuna mtu utamstuwa kama huna mawe.

Wanawake wanataka pesa siyo show off, hao walikuwa mademu wa zamani sana, sasa hivi pisi zote zinapandishwa Bodaboda vizuri tu anachojari yeye anarudi na mpunga kwenye pochi.
 
Tena ujanja mkubwa sana, wewe usiniambie hutaki kula pisiiiiiii hizi ni hadithi za sizitaki mbichi hizi mzee ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Mimi nikipata mama moja kaliii imesimama ...naishi nayo hyo hyo sio kila mahala nipakuenda chief
 
Sisi wazee wa mjini bana! Tunakwenda na upepo... Nasikia siku hizi vijana wakitaka nyota zao zing'ae wa-shine ni mpaka wapigwe mashine kwanza na Wanamume wenzao ndo mambo yawe Mukidee! Nasi tunaenda na Flow! Wao si wanataka waishi vizuri mjini bana! Sisi hatuna hiyana... tulipambana, tukaenda shule na matunda tunayaona wao wanataka vya dezo. Mwambieni asione haya!
Mzee tulitegemea utampa kijana ushauri wenye busara na kumjenga
 
Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali.

Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo.

Hakuna mwanamke atakupenda the way ulivyo mhudumie mtoto wa watu hata kama huna hela uwe hata na gari anavokuja mtoto wa watu asichoke akae hata kwenye ma AC.

Video hapo chini kaongea mengi
View attachment 2717759
Mshukuru Mungu
 
Nyinyi mtakuwa mnaishi vijijini, pisi za kisasa zinajari pesa, hawana muda na gari labda umuhonge yeye ndio anaweza kukuelewa

Dunia ilipofika hakuna raha kama kutumia hizi Uber, unakwenda sehemu unapiga mtungi kwa kujiachia bila mawazo SAA ya kurudi barabarani itakuwaje.

Don't drink and drive, pesa ndio kila kitu, mtu anayekuja sehemu na Bodaboda na ana mawe wewe njoo hata na Cardilac hakuna mtu utamstuwa kama huna mawe.

Wanawake wanataka pesa siyo show off, hao walikuwa mademu wa zamani sana, sasa hivi pisi zote zinapandishwa Bodaboda vizuri tu anachojari yeye anarudi na mpunga kwenye pochi.
Nipo nyuma nilikuwa sijui hili ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom