DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Huwezi kuwa na Cadillac au unatembelea Uber full time halafu huna hela (sio lazima uwe tajiri).Nyinyi mtakuwa mnaishi vijijini, pisi za kisasa zinajari pesa, hawana muda na gari labda umuhonge yeye ndio anaweza kukuelewa
Dunia ilipofika hakuna raha kama kutumia hizi Uber, unakwenda sehemu unapiga mtungi kwa kujiachia bila mawazo SAA ya kurudi barabarani itakuwaje.
Don't drink and drive, pesa ndio kila kitu, mtu anayekuja sehemu na Bodaboda na ana mawe wewe njoo hata na Cardilac hakuna mtu utamstuwa kama huna mawe.
Wanawake wanataka pesa siyo show off, hao walikuwa mademu wa zamani sana, sasa hivi pisi zote zinapandishwa Bodaboda vizuri tu anachojari yeye anarudi na mpunga kwenye pochi.
Shida ni pale useme una hela lakini unapanda takataka zinazo itwa daladala/mwendokasi.
We ni kapuku tu, hakuna sababu yoyote ya kujistify otherwise.
#kataadaladala
Sent using Jamii Forums mobile app