Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

Mchekini huyu mwamba insta ana chuma kali sana za milioni 3 mpaka 4 "jacktan safari" ila mwaka huu usikose hata corolla ya kuzugia namba A na pisi kali unazila kama kawa.

ujue kina mwaju hawamind aina ya gar sema wana wa sinza mshawakaririsha mademu zenu kuwa crown ndiyo gari na kina bmw πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Bongo ukiwa na gari unahesabika umeyapatia sana maisha. Hata la kukodi tu zama nalo viwanja weka funguo kwenye kiuno attention inakuwa kubwa sana kwako.

Madalali wa magari wanakula sana totoz kali kali town acha tu.
Kwamba anaagiza kilo moja ya rost alafu funguo za crown mnyama kaziweka mezani kila saa anatoka kwenye kiti chake anafanya mambo ya push to start au gari anaiacha silencer huku sport light shwaaaa ili mradi watu wamuone mjini naye zimbaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Town kuna vioja sana mkuu πŸ˜€
 
Chai.
 
Acheni kujitoa fahamu hapa,,tafuteni pesa mnnunue magari..unaishije bila gari while ni basic need Kwa maisha ya sasa.
 
Hahaha..
Ukweli mchungu
Mpunga Kwanza
 
Nyinyi mtakuwa mnaishi vijijini, pisi za kisasa zinajari pesa, hawana muda na gari labda umuhonge yeye ndio anaweza kukuelewa

Dunia ilipofika hakuna raha kama kutumia hizi Uber, unakwenda sehemu unapiga mtungi kwa kujiachia bila mawazo SAA ya kurudi barabarani itakuwaje.

Don't drink and drive, pesa ndio kila kitu, mtu anayekuja sehemu na Bodaboda na ana mawe wewe njoo hata na Cardilac hakuna mtu utamstuwa kama huna mawe.

Wanawake wanataka pesa siyo show off, hao walikuwa mademu wa zamani sana, sasa hivi pisi zote zinapandishwa Bodaboda vizuri tu anachojari yeye anarudi na mpunga kwenye pochi.
 
Tena ujanja mkubwa sana, wewe usiniambie hutaki kula pisiiiiiii hizi ni hadithi za sizitaki mbichi hizi mzee πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜…πŸ˜…
Mimi nikipata mama moja kaliii imesimama ...naishi nayo hyo hyo sio kila mahala nipakuenda chief
 
Mzee tulitegemea utampa kijana ushauri wenye busara na kumjenga
 
Mshukuru Mungu
 
Nipo nyuma nilikuwa sijui hili πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…