hatari na unaambiwa mgunduzi wake alijutia baadae baada ya kuunda hizo bomba na alikufa masikini(hakuwa na kitu)
Imagine unamkopesha mtu siku ya kukulipa unamfuata na AK 47.Unaambiwa hapo sauzi watu wanazo ndani kwao
Bongo ingekua ni halali kua nazo tungekua hatukopeshani hela
Shida ni kwamba unakuta na uliyemkopesha na yeye anayo ndaniImagine unamkopesha mtu siku ya kukulipa unamfuata na AK 47.
Wallahi lazima akulipe zile habari za kuna ishu naiskilizia zingeisha.
Hapo kwa tabia za wabongo ni kuwaiana tu.Shida ni kwamba unakuta na uliyemkopesha na yeye anayo ndani
Kuwahiana tu.Shida ni kwamba unakuta na uliyemkopesha na yeye anayo ndani
Hata Oktoba 29 ,2025 uchezaji wa mdumange kati ya wananchi na mercenaries/wale wauaji ungependeza mnoo!Unaambiwa hapo sauzi watu wanazo ndani kwao
Bongo ingekua ni halali kua nazo tungekua hatukopeshani hela