Hii bundiki ndio imetumika na kuuzwa zaidi Dunia na imeleta maafa ya kutisha.

Hii bundiki ndio imetumika na kuuzwa zaidi Dunia na imeleta maafa ya kutisha.

Hilo mpaka majirani wenye husda wakuchokoze.Laa sivyo,utungulie mapaka majizi/vimbulu au majirani zako wezi wa miwa.
Ili kuwa-intimidate majirani, juzi asubuhi nilitoka nayo ndani nikaanza kutumia kutungua maparachchi kwenye huu mti wa nyuma ya nyumba.

Nashukuri watu wengi waliniona nikiwa nalo kwa sababu walikuwa wanakwenda gulioni siku ile.

Sasa wale wote ambao walikuja kuchukua pesa na hawakuleta alizeti watajua hawajui!
 
Ushauri wako unahitajika.Hivi,siku Ile Hamza anawa-shoot wale polisi waliomdhulumu mahela,alikuwa na AK-47 au SMG?Jamaa alikuwa mbishi sana halafu ana umbo kama la makamu mpya wa Rais.
Iangalie kwa umakini then unipe jina
Screenshot_20260830-162322~2.jpg
 
Ili kuwa-intimidate majirani, juzi asubuhi nikitoka nayo ndani nikaanza kutumia kutungua maparachchi kwenye huu mti wa nyuma ya nyumba.

Namshukuri watu wengi waliniona nikiwa nalo kwa sababu walikuwa wanakwenda gulioni siku ile.

Sasa wale wote ambao walikuja kuchukua pesa na hawakuleta alizeti watajua hawajui!
Aisee,usizoee hiyo tabia.Mwaka 1987 nikiwa Tabora mjini kuna mzee mmoja alikuwa na mikwara hiyohiyo ya kuchagua siku,anatoa bunduki yake na kuisafisha mtutu kwa mdeki wake kwa madaha sana huku anadeka.Kumbe wahuni walikuwa wanamuona na wakaanza kumlia mingo bin timings.Akaingia kwenye 18 zao.Walimkamata wakamkoyonga na kuiharibuharibu Ile bunduki kibabe.Walitaka kumuonesha tu kwamba asijisahau na kutamba mnoo,kuna wababe zaidi yake.
 
Ili kuwa-intimidate majirani, juzi asubuhi nilitoka nayo ndani nikaanza kutumia kutungua maparachchi kwenye huu mti wa nyuma ya nyumba.

Nashukuri watu wengi waliniona nikiwa nalo kwa sababu walikuwa wanakwenda gulioni siku ile.

Sasa wale wote ambao walikuja kuchukua pesa na hawakuleta alizeti watajua hawajui!
gobole huwa lina mlio sio wa kitoto,mkuu hao wa alizeti lazima wakulipe
 
Aisee,usizoee hiyo tabia.Mwaka 1987 nikiwa Tabora mjini kuna mzee mmoja alikuwa na mikwara hiyohiyo ya kuchagua siku,anatoa bunduki yake na kuisafisha mtu kwa mdeki wake kwa madaha sana huku anadeka.Kumbe wahuni walikuwa wanamuona na wakaanza kumlia mingo bin timings.Akaingia kwenye 18 zao.Walimkamata wakamkoyonga na kuiharibuharibu Ile bunduki kibabe.Walitaka kumuonesha tu kwamba asijisahau na kutamba mnoo,kuna wababe zaidi yake.
Hii tabia ya kuwaonesha siyo kwamba napenda. Imenilazimi tu nifanye hivi kwa sababu watu wananizoea sana. Imagine, kisa unajua alizeti, jitu linakuja kuchukua hela, halafu unalipa kiroho tu. Ukimwambia akuletee mzigo anaanza kuleta mboyoyo.

Nimeona hili guu la kunguru latafanya wale wote ninaowadai wanalipe fasta.
 
Nimeingia chaka moja kupata habari za hiyo manati ya kirusi asee ni hatar sana hapa dunia unaambiawa kwanza kampuni mama ina matoleo matano(5) ila hadi sasa watu na mataifa tofauti wamefyatua jumla ya types 200 za AK na wameongezea majina mengine na kuongeza vipengele vichache (ndio bunduk maarufu,pendwa duniani na ndio bunduki ilouwa watu wengi zaidi duniani nje na mabomu na makombora)
 
Back
Top Bottom