APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 6,278
- 12,584
Ni michongo ukienda kule.hapo kuna watu watakuuliza hao mabandits wanawapataje
Ni michongo ukienda kule.hapo kuna watu watakuuliza hao mabandits wanawapataje
Hatari hiyo.Yanakukuta kama ya vijana waliokuwa wanaenda msibani wakitokea Arusha.Kasheshe ukinaswa na wasirikali kuja kujinasua ni kipengele otherwise you perish.
AK-47 imeuzika sana sababu ipo na variants nyingi. Kuna copy na licence production zake za kutosha. Israel waliiga, China walitoa copy, nchi za Bulgaria na Yugoslavia nazo zikatoa, North Korea nao.
Aah aah hapo ni mwendo wa kuwaiana.Vipi na yeye ukamkuta kaishika?
🙄🙄 Hee! Wanakata kitako?? Huyo ni mchina 56 ..Copy copyyyy😊
Hii ni ya kichina T-56 huku bongo tulizoea kuziita SMG lakini si aina ya SMG ni assault rifle kama AK47Iangalie kwa umakini then unipe jinaView attachment 3660058
Mkuu ukinaswa na hawa mamluki wa CCM we ndo basi tena watasema umempiga raisi risasi lakini aliwahishwa hospital kwahiyo yupo salama yani utakua sample space kwa taifa zima na africa kwa ujumla.Kasheshe ukinaswa na wasirikali kuja kujinasua ni kipengele otherwise you perish.
Huyu jamaaMikhail Kalashnikov
View attachment 3660065
Ahahahahah.Unaambiwa hapo sauzi watu wanazo ndani kwao
Bongo ingekua ni halali kua nazo tungekua hatukopeshani hela
Hata hiyo AK 47 hukatwa hasa zile za wahalifu ili kuifupisha, kurahisisha ubebaji/kuificha.🙄🙄 Hee! Wanakata kitako?? Huyo ni mchina 56 ..Copy copyyyy😊