Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Basi hapo mnapoishi hakuna wanoko.Wangekuchomesha kwa mtendaji au mwenyekiti ungenyang'anywa na kufunguliwa kesi ya ugaidi au uhaini.Wangekuhurumia saaaanaaa wangekufurusha ukaishi Burundi na interahamwe.Hii tabia ya kuwaonesha siyo kwamba napenda. Imenilazimi tu nifanye hivi kwa sababu watu wananizoea sana. Imagine, kisa unajua alizeti, jitu linakuja kuchukua hela, halafu unalipa kiroho tu. Ukimwambia akuletee mzigo anaanza kuleta mboyoyo.
Nimeona hili guu la kunguru latafanya wale wote ninaowadai wanalipe fasta.