Hii bundiki ndio imetumika na kuuzwa zaidi Dunia na imeleta maafa ya kutisha.

Basi hapo mnapoishi hakuna wanoko.Wangekuchomesha kwa mtendaji au mwenyekiti ungenyang'anywa na kufunguliwa kesi ya ugaidi au uhaini.Wangekuhurumia saaaanaaa wangekufurusha ukaishi Burundi na interahamwe.
 
Hapa Kijijini nimeshawaweka spies, ukionekana unajifanya domokaya nakushughulikia, yaani kiufupi wanakijiji wote hapa nawaita inyanzi. La cucaracha kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…