Hii bundiki ndio imetumika na kuuzwa zaidi Dunia na imeleta maafa ya kutisha.

Hata hiyo AK 47 hukatwa hasa zile za wahalifu ili kuifupisha, kurahisisha ubebaji/kuificha.

Hujawahi kusikia taarifa za Polisi wahalifu wamekamatwa na bunduki imekatwa kitako?
 

Attachments

  • 67C079F8-ADA8-464A-9355-C0415446A499.jpeg
    26.2 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…