Hii Button (Kitufe) kwenye hii gari hakuna anayejua kazi yake nini na wote wanaogopa ibonyeza

Mkuu upya wa kitu si unatokana na anayekimiliki? sijaona ajabu hapo. kama kiatu kimetengenezwa mwaka 1990 we ukaja ukakinunua leo... hicho siyo kipya? au wewe upya una uelewaje?
Unaweza ukawa sahihi nimjaribu kutafuta tafsri ya New haya ndio nimepata:
1. produced, introduced, or discovered recently or now for the first time; not existing before.
2.already existing but seen, experienced, or acquired recently or now for the first time.
"her new bike"
 
see..... kwa hiyo unapokimiliki kitu au kukiona for the first time kwako ni kipya. hata demu unaweza ukawa na demu mpya ila wenzako walishapiga.. wewe ambaye hujawahi piga mashine yake anakuwa mpya kwako. so jamaa yuko sahihi.
 
Taratibu, tunaacha kujibu swali lililoko mwzani, tunajiingiza kwenye suala la nje ya mada!

Mdau,

Hicho kitufe, kama alivyosema mchangiaji hapo juu, ni kama voice command sensor na haina matumizi yeyote ya maana ama lazma sana huku kwetu.

Ukiangalia vizuri, kuna sehemu pia kidude kama cha bati kwaajili ya kuweka kitu mfano wa kadi. Angalia vizuri utaona

Na wakati mwingine, huwa zinakuja na kadi kabisa za parking walizokua wakitumia huko!

Ni vitu vya kawaida, msiogope. Ukibonyeza, angalia na screen ya radio inavyofanya.

Naomba Extrovert na Offshore Seamen muongezee nyama

Nawasilisha
 
@JituMirabaMinne tuelezee hii issue ya hicho ki tufe
 
watu wenye akili kama wewe walibaki wachache sana JF yaani hili huw alinanisikitisha sana kwa sasa wengi wamekuwa ni wale wengine. umetoa maelezo mazuri so. jamaa akabonyeze tu siyo kijipu uchungu?
 
Mkuu upya wa kitu si unatokana na anayekimiliki? sijaona ajabu hapo. kama kiatu kimetengenezwa mwaka 1990 we ukaja ukakinunua leo... hicho siyo kipya? au wewe upya una uelewaje?
Kama kimewahi kuvaliwa sio kipya.

Na Hilo gari kama limewahi kuendeshwa huko ng'ambo sio jipya

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…