Hii chapati niliyotengeneza, usipokua makini utajing'ata Vidole

Ukikurupuka usingizini uwe unatulia kama dakika 10 au 15 usingizi uishe ndo u comment.

Atasijaelewa ulichoandika, embu soma tena nilichoandika.

Mmmmmh
Mr Chuma kigumu bado unapambana nami.. sasa nikufundishe kusoma na kuelea na pia kukumbukia kwamba nini kilitangualia.

Uliona picha ya sahani

Ukamwambia anunue ingine sijui nini..

Nikakujibu hivyo kukuuliza kama alikuambia hana sahani unazotaka kuona..

Sasa hapa tunakuja kwenye kwamba hayo yote uliyoniandikia yamekurudia.. njoo nikufundishe kusoma na kufikiria na kuelewa bila kusahau kurudi nyuma ukizingatia nilikunukuu.. sasa inakuwaje hukujisoma ukaelewa..

Ulitaka nikuandikie lisentensi lirefu kwani hujui kuwa muda kwa wengine na sisi ni pesa!!!
Itabidi nianze kukudisi sasa maana haya ya kukuandikia gazeti hapana aiseee.. siwezi.. nioifikiri upo juuu kumbe pwaaaaa.. looo

Hata kukukaribisha mkoani kwetu uje uone maisha ya kijijini basi sikukaribishi tena.. eeeeh.. ndio umekosa organic food.. endelea kula chips mayai
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ubaya sasa ukishaweka kwenye fridge ile ladha ya asili kama inapotea flani hivi,haiwi kama ile fresh umekuna hapo hapo na kuitumia hapo hapo
 
Ubaya sasa ukishaweka kwenye fridge ile ladha ya asili kama inapotea flani hivi,haiwi kama ile fresh umekuna hapo hapo na kuitumia hapo hapo
Haipotei mama. Inategemea na uchujaji wako wa nazi. Ukitumia maji ya moto mafuta yote na tui lote linatoka poa tu.
Mi ni mmoja wa watu wanaoamini kitu kikikaa kwenye fridge kama hakijapikwa kinatoka ladha. Siwezi kula kuku aliekaa kwenye fridge bila kuchemshwa labda nimkaange, nyama nachemsha kwanza ndo naweka kwenye fridge au naitia chumvi na ndimu ndo naamini haiwezi poteza ladha yake ya asali. Jaribu kwenye nazi mara moja tu utaona.
 
Ntaijaribu hii ya nazi.

Usiombe uweke samaki akae kwenye fridge kama siku tatu hivi hahaha ukija kupika unaona ni heri ungebandika maharage ule
 
Ntaijaribu hii ya nazi.

Usiombe uweke samaki akae kwenye fridge kama siku tatu hivi hahaha ukija kupika unaona ni heri ungebandika maharage ule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa mimi samaki wa fridge hanisumbui. Nachofanya naweka ndimu na chumvi anakaa kwenye fridge hata week na nikimpika wala habadiliki sana. Japo napenda sana vyakula fresh jamani. Mikuku ya supermarket sinunui kabisa
 



Huu mgazeti ulioandika kiboko.

Tuishie hapa maana hukawiii kuandika ligazeti lingine.


Jumapili njema.
 
Ntaijaribu hii ya nazi.

Usiombe uweke samaki akae kwenye fridge kama siku tatu hivi hahaha ukija kupika unaona ni heri ungebandika maharage ule
Kumweka samaki kwenye fridge, ukitaka kumweka samaki ili umkute yuko na ule uasili wake basi inashauriwa usimkoshe pale baada ya kutengezwa kiasi kwamba unapomtoa kwenye fridge ndio unamwosha na kumfanya vile unavyotaka. Hapo utamkuta yupo na uasili wake na hata ladha hapotezi.
 
Mie huwa nablend
Unga
Kitunguu
Yai
Sukari
Karoti kidogo sana
Hoho
Na kachumvi kadogo

Nasaga kwa pamoja kupata uji laini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…