Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Yani wazungu bana hii chatGPT wametuweza sana, hata hivyo wakuu, hii kitu isifananishwe na Ile takataka ya wachina kabisa. Chatgpt ni next level .
🤣🤣🤣.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa cha ajabu ni kipi hapo? Si hiyo information inakua fed in kwenye system nakutumika wakati wowote.Yani wazungu bana hii chartGPT wametuweza sana, hata hivyo wakuu, hii kitu isifananishwe na Ile takataka ya wachina kabisa. Chartgpt ni next level .
View attachment 3234506[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Unajua kuna chatbots nyingi marekani, kuna gemini, kuch glock, kuna ya facebook jina nimesahau lakini hizo zote hazijawahi kuipa presha chatgpt. Ukion ile deepseek imeipa presha chatgpt na waliotetemeka na hao hao wamarekani jua kuna kitu. Altman mwenyewe alisema nao wataangalia namna ya kutumia njia waliotumia deepseek kutrain models zao.Yani wazungu bana hii chartGPT wametuweza sana, hata hivyo wakuu, hii kitu isifananishwe na Ile takataka ya wachina kabisa. Chartgpt ni next level .
View attachment 3234506🤣🤣🤣.
Hii kitu ina kumbukumbu sana kama mtu
Yeah wenzetu wapo level za mbali sana kuhusiana mambo ya teknolojia.Baada ya Mungu Ni mzungu
Unaweza kufikili unachati na msela wako kumbe li program🤣🤣.noma sana
chatGPT ni bureHivi zinalipiwa hizo app
Imagine hapo nilikuwa nachati nalo kibongobongo lakini linajibu...kiukweli wenzetu wapo mbali sana.Nikiwa safari huwa napiga sana stor na jamaa..mbayaaa