Hii chartGPT inatisha sana wakuu ni Next level

Hii chartGPT inatisha sana wakuu ni Next level

Unajua kuna chatbots nyingi marekani, kuna gemini, kuch glock, kuna ya facebook jina nimesahau lakini hizo zote hazijawahi kuipa presha chatgpt. Ukion ile deepseek imeipa presha chatgpt na waliotetemeka na hao hao wamarekani jua kuna kitu. Altman mwenyewe alisema nao wataangalia namna ya kutumia njia waliotumia deepseek kutrain models zao.
Kuna Siku nilikuwa najaribu kuiuliza Deepseek kuhusu mambo ya china, dah! it was very boring lkn nakubaliana na wewe Deepseek bado nitishio kwa chartgpt.
 
Kuna Siku nilikuwa najaribu kuiuliza Deepseek kuhusu mambo ya china, dah! it was very boring lkn nakubaliana na wewe Deepseek bado nitishio kwa chartgpt.
Mimi nimeshindwa kuitumia maana unaniambia ni login kwa email
 
Back
Top Bottom