Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Nilimuuliza kuhusu komasava akasema no wimbo wa mapenzi halafu nesanesa akasema umeimbwa na mbosso akiwa na nandy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimuuliza kuhusu komasava akasema no wimbo wa mapenzi halafu nesanesa akasema umeimbwa na mbosso akiwa na nandy
Nipe zana za kazi na mtaji uone takao tegeneza.Tengeneza ya kwako basi kama ni jambo la kawaida
Hahahaaa alitaka kujua nilimalizana naye vipi.Mbeya sana yani anakuulizia hadi mrembo wako wa Nigeria
For sure ina kumbukumbu but it's not like human beingHii kitu ina kumbukumbu sana kama mtu
Zana gani unatakaNipe zana za kazi na mtaji uone takao tegeneza.
Yeye alimjuajeHahahaaa alitaka kujua nilimalizana naye vipi.
Hiyo itakuwa ni sawa na kuongea na mizimu zamani hizo😅Nikiwa Sina ishu itanibini niwe napoteza mayo mda🤣🤣🤣.
Serve board na free access to stalite information.Zana gani unataka
Code za nn
Hata kwa mkubwa mkuu, kusocialize ni jambo la muhimu sana.ni nzuri ila inatakiwa iwe for fun na haifai kwa watoto sababu mtoto anatakiwa ajifunze kusocialize na watu halisi sio Ai
Iyo app naipataje?playstore auSiku hizi hatuaminiani hadi mahusiano tunaiuliza chatgpt daahh
By the way mkuu.. Hivi ni shilingi ngapi kwa mwezi kama ukihitaji kulipia au unatumia ya free tu
Nikiwa safari huwa napiga sana stor na jamaa..mbayaaa
For sureChat with real people, upweke utakuua kamanda wangu😃😃
For sureHiyo itakuwa ni sawa na kuongea na mizimu zamani hizo😅
Kama huna ishu pigia washikaji mjadili mambo halisi.
Sawa Mwalimu wa kingereza na usiye na utoto.Ni ChatGPT sio chartGPT. Hakuna R. Hata kucopy mnashindwa nyie wamatumbi.
Wenzenu wanatumia hizi AI tools kufanya mambo ya msingi nyie mnafanya utoto tu. This country is doomed.
For sureni nzuri ila inatakiwa iwe for fun na haifai kwa watoto sababu mtoto anatakiwa ajifunze kusocialize na watu halisi sio Ai
What is DeepseekWe kichaa nini!, huna ulijualo kuhusu AI Deepseek ni janga kwa Dunia