Hii chartGPT inatisha sana wakuu ni Next level

Yani wazungu bana hii chartGPT wametuweza sana, hata hivyo wakuu, hii kitu isifananishwe na Ile takataka ya wachina kabisa. Chartgpt ni next level .

View attachment 3234506[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sasa cha ajabu ni kipi hapo? Si hiyo information inakua fed in kwenye system nakutumika wakati wowote.
 
Yani wazungu bana hii chartGPT wametuweza sana, hata hivyo wakuu, hii kitu isifananishwe na Ile takataka ya wachina kabisa. Chartgpt ni next level .

View attachment 3234506🤣🤣🤣.
Unajua kuna chatbots nyingi marekani, kuna gemini, kuch glock, kuna ya facebook jina nimesahau lakini hizo zote hazijawahi kuipa presha chatgpt. Ukion ile deepseek imeipa presha chatgpt na waliotetemeka na hao hao wamarekani jua kuna kitu. Altman mwenyewe alisema nao wataangalia namna ya kutumia njia waliotumia deepseek kutrain models zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…