Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

Dah kuajiriwa ni utumwa
Labda uwe una mshahara zaidi ya milioni sita
 
Kila mwisho, wa kila mwezi mtumishi atapata mshahara wake stahili.

Hayo ya tarehe 20 au 25 ni utamaduni na uungwana wa serikali kwa watumish wake.

Lakini mishara stahili kwa watumishi ipo, na kila mtumisha atapata stahiki zake kila mwisho wa mwezi bila wasiwasi wala tashwishwi yeyote.
Subra na ustahimilivu ni muhimu sana katika hili...
 
Dah kuajiriwa ni utumwa
Labda uwe una mshahara zaidi ya milioni sita
Mimi sijaajiriwa na serikali ila nina biashara zangu kubwa tu naziendesha ila sijawahi kukashifu aliyeajiriwa kwamba ni mtumwa,wengi wenye maneno hayo ni majobless wanajifariji.
Unadhani kila mtu akijiajiri kazi za umma atafanya nani? Jeshini,polisi,magereza,hospital?
 
Mlimchagua wenyewe, mkiambiwa muwe wa liberals hamtaki......
 
Hali ikiendelea hivi kesho siendi hospitali asee wasinitanie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…