Hii collabo kati ya mtu mzima Jigga (Jay-Z) na Slim Shady (Eminem) Renegade nani aliua (verses kali)?

hii nyimbo jigga man alifunikwa sana na eminem
eminem kiboko yake dr dre
 
Kuna watu wana real talent na kuna watu mungu kawabarikia kwa bahati mtavuja jasho wote lakini mwenzio anatusua wew anakuacha, anyways jigga ni jina tu linambeba ila kwa eminem bdo akasome.
 
Kuna watu wana real talent na kuna watu mungu kawabarikia kwa bahati mtavuja jasho wote lakini mwenzio anatusua wew anakuacha, anyways jigga ni jina tu linambeba ila kwa eminem bdo akasome.
Inawezekana Jay Z alifunikwa na Eminem kwenye Renegade lakini kusema eti Jay anabebwa na jina ni uzushi. Jay ana body of work ambayo ni rappers wachache sana wanaweza kumfikia. Jay yuko kwenye top 5 ya yeyote anayejua hip hop. Anaweza asiwe your favourite rapper lakini kusema anabebwa ni upotoshaji.
 
To make it clear bado kwangu jigga si best rapper mbele ya eminem labda kwa hao wengine
 
huyu mdada kwenye beat za hip hop huwa ananogesha vizuri mno

Usimsahau Keri Hilson naye ni mnogeshaji mzuri mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…